Toka ndani kabisa ya moyo,Bobby hana mpinzani .Usimgombanishe captain na Baba swaleh tu.
Uzuri hashindwiMo Salah needs 9 more goals to break into the top 10 goal scorers in Premier League history.
He also needs 19 assists to break into the top 10 assisters in Premier League history.
One season wonder? [emoji1093][emoji146] #lfc
Mo Salah Egyptian king.
Ndio ishatokea.Imagine Klopp angekubali mawazo ya Edward kumuuza Hendo na kumchukua Guimaraes kisha kuachana na Keita plus Milner na kuwachukua Caicedo na Enzo. Ni moja ya decision Klopp zimeharibu muendelezo mzuri, anakuja kushtuka kumeshakucha.
Shughuli ipo.Hiyo z ya pili inatamkwa mkuu yaani s haiwi pekee yake kuna s nusu na z nusu zinaungwa hapo.!!! Kamsikilize youtube akilitamka jina lake. Ni kama ukifika s kuna ka nusu kituo flan kisha inaitamka na ka z kwa unusu wake. Kubeki wa Hungary anaitwa Szalai.!!! Hii sz kwao inavyotamkwa mtihani. Wengine wanatoa z wengine wanatoa s ilimradi iwe rahisi kutamka.
Me mwenyewe nilipata wasiwasiNaam. Z ya kwanza inamezwa. Ila ya pili haimezwi japo utamkwaje wake sasa ndio changamoto. Embu kasikilize akilitaja mwenyewe sz zinaunganishwa.
Ngoja baba swaleh Apone,,Toka ndani kabisa ya moyo,Bobby hana mpinzani .
Anaendelea vizuri,Mungu ni mwema.Ngoja baba swaleh Apone,,
Dokta kama Dokta....Usimgombanishe captain na Baba swaleh tu.