Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kinacho anza ni Imani au Matendo?

"Imani Pasipo Matendo" hiyo ndiyo hoja ya msingi, habari ya kuwa lipi neno limeanza mwanzo hizo ni poor reasoning.

Lazima Imani na Matendo viende pamoja hivyo Liverpool ifanye Matendo sio Imani tu.
 
Hawez kwenda Liverpool

Akienda niulizwe mimi
 
Hawez kwenda Liverpool

Akienda niulizwe mimi
Iko kwenye news tangu jana alfajiri

Ni choice yake na rights zake

Sad he is not joining us but LFC have shown kwamba wana 100m pounds to spend on a right player
 
Inasikitisha sana

Kuna threads zao wanaweza kutukanana

Lakini humu tubaki tu na timu yetu au utani wa jadi

Tusifike kwenye yasiyofaa
Yah , vijana hatuna mipaka katika kejeli zetu na utani, tunasahau kabisa kuwa huu ni ushabiki tu.
 
Unasahau kuwa caicedo alishasaini maslahi binafsi na Chelsea.
 
Matip
Gomez
VVD
WANATUTOSHA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…