Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyo makalista atakua deadly sana pale livapuli

Na huyo dogo dommy ni min KDB

Yaani tukipata beki msimu ujao

Tutakua wa moto sana

Mimi nawataka sana Brighton aisee nataka niwanyooshe wale watoto
 
Huyo makalista atakua deadly sana pale livapuli

Na huyo dogo dommy ni min KDB

Yaani tukipata beki msimu ujao

Tutakua wa moto sana

Mimi nawataka sana Brighton aisee nataka niwanyooshe wale watoto
Tupate na cover ya fabinho moja na beki kama Pavard hivi...game over ...Europa cup...yetu..
Fa yetu...
 
Weken hela tengenezeni team ya ushindani rudini mtupe changamoto ya ukwl.

Tunatak kufukuzana na nyie walau ndo mnaweza izi mbio mnatupa changamoto ya ukwl.

Acheni ubairi jengen team mje tupambane kiume.. Msikae kinyonge jukwaa linakaa sik 3 halina wachangiaji.
 
subiri msimu uanze ndo utajua haujui...
liver Bingwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…