Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Dokta huu msimu ni wakusidikiza wengine aisee kama kutegemea kuna ushindi hapa Ethad mhmhmh sio kwa wachezaji hawa na hii attitude.

YNWA
 
Huwezi kushinda bila Milner
Wahenga Fc wazee wa pension,
Nilivyoona tu Milner yuko bench nikajua kabisa lazima jogoo atage.
Hii timu hua inabebwa na uwezo binafsi wa Milner, sijui Klopp alikula maharage ya wapi mpaka akaamua kumuweka bench na kumuingiza dakika za majeruhi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…