Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Najuta kutokwenda kibanda umiza Leo

Nani yupo hapa kibozone[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakunywa bia Leo[emoji23][emoji119][emoji4][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Usiwe unaenda huko wanabakaga huko
 
Usiwe unaenda huko wanabakaga huko
Aiseee
Kwa nguvu nilizonazo leo nani anaweza nikaba?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu mtoto ni habari nyingine[emoji91][emoji119]
Ukiona dogo Firmino ameamua kusepa ujue kashaona huyu dogo kumtoa 1sr 11 sasa itakua kibarua kigumu huku Bobby umri ukiwa umesogea.

Cody ndio kwanza anaanza kuelewa nini Klopp anakitaka huyu baada ya pre season atakua balaa kubwa.

Angalau Manjesta wameelewa sasa nini walikosa kununua kwa kutoshuka mazima pale PSV.

YNWA
 
View attachment 2538493

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yankees wasepe tu hakuna namna.

FSG out.

YNWA
Hawa waendee
Wasituzuge.


Ushindi wa leo ni nguvu ya Klopp
Na wachezaji sijui wamekunywa alkasusu leo
Kila mtu amekaza miguu[emoji119][emoji119][emoji91][emoji91][emoji91]
 
Pamoja na kushinda goli nyingi mpira mliocheza ni WA kawaida sana sijaona kipya kwahiyo msijisahulishe sana
 
Hawa waendee
Wasituzuge.


Ushindi wa leo ni nguvu ya Klopp
Na wachezaji sijui wamekunywa alkasusu leo
Kila mtu amekaza miguu[emoji119][emoji119][emoji91][emoji91][emoji91]
😂 😂 😂 😂 😂 Alkasusu imewahusu hawa jamaa na kwa vile kuna baridi kule wametoka kifua mbele...

YNWA
 
Fans wa United tutaweka wapi sura zetu kesho jirani ni fans wa Liverpool Sijui ni lale nje leo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…