Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Injinia soma hiooooooo. Ushindi ni ushindi tu na kwa kumpiga Everton mbona fresh tu.View attachment 2516617
Aise kweli zama zinabadilika, ushindi wa kwanza wa Ligi kwa mwaka 2023.
Acha itutese tu
πππππHivi babu Asprin tangu tuanze vipigo ndio ametususa.Aisee niko nimetulia na k vant yangu huku nasikiliza kwaya ,eeh baba niwapi TUMEKUKOSEA?
Kumbe wewe huna roho ngumu una ji lock out kukwepa maumivu.Nilishaacha hadi kuangalia mechi
Hii timu hadi naogopa sasa
I guess heavy traffic ndio ina decide mechi za main channel 223 na kwa sasa hatupo kwenye mbio za ubingwa hivyo its natural gemu zetu zikichezwa hazina mvuto tofauti na wanaosaka ubingwa wa ligi ndio zinaangaliwa kwa wingi especially na ma neutrals.Naona Dstv wametutoa kabisa channel no 223.....
Nimecheka kama zuzu...πππππHivi babu Asprin tangu tuanze vipigo ndio ametususa.
Hahaha angalau jana ushindi ulipatikana japo hao Everton wana hali tete kwa sasa lakini kwa sasa haijalishi zaidi ni kwamba ni kusaka pointi 3 muhimu kila mechi.
YNWA
Jana walau nimelala bila stress za kipigo ππInjinia soma hiooooooo. Ushindi ni ushindi tu na kwa kumpiga Everton mbona fresh tu.
YNWA
πππππKutesa kwa zamu babu ni maumivu baada ya maumivu...Nimecheka kama zuzu...
Hakyamama hili chama limejua kunitesa safari hii
Laana ya Sadio Mane inatupasa tuogee maji ya baharini kwa sabuni ya magadi
Hizi stress za hii timu yaaani ngoja tuone wekedi hii maana wachezaji wenyewe wanasema ndio wameanza kupindua msimu kimatokeo.Jana walau nimelala bila stress za kipigo ππ
Bajetic wamoto balaa π₯π₯
YNWA
Bajectic yupo kuivaa Real Madrid anaingia kwenye kikosi B kwa sababu anatokea academy ambapo amekuwepo zaidi ya miaka miwiliKwanini sijui liver hawaja muweka bajcetic kwenye kikosi dhidi ya madrid , Mimi naamini yule kamavinga sijui nani angekojoa damu.
Angalau sasa mmeanza kuadmit kuwa Mane kuondoka tuliingia cha kike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kutesa kwa zamu babu ni maumivu baada ya maumivu...
Ki ufupi huu msimu kwetu haupo kabisa sidhani hata huko Champions League kama tutaboa kabisa.
Hili la Mane kwa kweli ilikua mistake kubwa sana kumwachia kabla ya Klopp kujaribu mfumo mpya na kuona unavyofanya kazi. FSG waliona kwa mchezaji mwenye umri wa 30+ kupata usd 30m kwao ni faida kubwa sana kumbe ndio anguko letu msimu huu.
YNWA
ππππMane asepe tu umri umekwenda akipige mahela alipo kuing'ang'ania Liverpool angeishia kushindwa kuwahudumia kwao Senegal maana dogo anategemewa sana...Angalau sasa mmeanza kuadmit kuwa Mane kuondoka tuliingia cha kike
Angekuwepo pengine hali isingekuwa mbaya sana kama ilivyo sasa.ππππMane asepe tu umri umekwenda akipige mahela alipo kuing'ang'ania Liverpool angeishia kushindwa kuwahudumia kwao Senegal maana dogo anategemewa sana...
Mane peke yake asingeweza kututoa kwenye hili shimo... Hii ni collective work kila mchezaji afuate maelekezo ya mwalimu to the letter.
Tupo tupo na hali tete sioni hata nafasi ya 5 kama mambo yasipobadilika...
YNWA
Duh, kale katoto ni hatariii! Kanapiga mpira utafikri ni ka mtu kazima aiseee!Jana walau nimelala bila stress za kipigo ππ
Bajetic wamoto balaa π₯π₯
YNWA
Mashine zimeanza kurudi! Jana Firminho, Diogo Jota, Virgil van Djik! Naona kama tutarudi kwenye mstari muda si mrefu! Huku Gakpo naye jana kauwasha sana!!Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji7][emoji91]