Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nakumbuka ile mechi ya Arsenal vs Manchester United, watangazaji hawakuelewa na mfumo upi ulitumika kwa sababu RB na LB wa Arsenal walikua kama ni MF kimsingi Arteta mbinu zake sasa zinaeleweka unavyoona timu hai panic wanaedelea kucheza mpira wao hata kama wamefungwo ndio ujue watoto wamekomaa vyema kuelewa mfumo.. Shinda yangu ni huyu mtukutu wenu vurugu hazichezi mbali nae sijui kama msimu utaisha hajala umeme...

Kama Jorginho atapata huo msaada kutoka kwa RB na LB basi hatauza mechi kirahisi...

Namtakia mema huko London sie bhana tuna top midfielders wote ni wazima hivyo hatukua na haja ya kusajili kwa kua huko nje hatukuona walio zaidi ya wetu πŸ˜‚πŸ˜‚Klopp hua analewa mchana sio bure... Unaweza kusema huna majeruhi ni MF wako top form huku tukiwa hatuna ushindi Brighton nk ama kweli tutaona mengi sana msimu huu.


YNWA
 
Hivi mliona nini kwa Zambi Lukonga, au umaridadi wa jina
 
Subirini mpate Tajiri mpya ,ila anahitajika awekeze hasa Kama boss wa Chelsea

Chelsea wamepata bahati wametumia mwanya wa mikataba mirefu na kukwepa FFP , Hii loophole sioni ikitokea maana wanaenda kukaa kikao waibadilishe

Hivo kwa timu kuwekeza Kama Chelsea kwasasa itahitaji hata madirisha manne au matano kabisa .

Timu imetumia Β£600m+ madirisha mawili tu
UEFA wakiziba hii mianya waliyotumia Chelsea , itakuwa ngumu kwa timu nyingine kufanya hivo
 
Naona timu ya Akina Boehly iko organized, visionary na very strong kwenye usajili kuliko wale wa era ya Abramovich
Kwa CV ya walioteuliwa, majukumu waliyopewa na jinsi walivyoanza kazi kama timu inatia matumaini sana
Msimu huu mashabiki wengi wameridhika
 
The 2023 January transfer window has closed.

π—œπ—»π—°π—Όπ—Ίπ—Άπ—»π—΄π˜€

Cody Gakpo

π—’π˜‚π˜π—΄π—Όπ—Άπ—»π—΄π˜€

N/A

Thoughts? [emoji849]
 
Hata bila Uefa kukaa tayari sasa kuna kipengele kipya kinaanza kazi usajili ujao ambacho kinasema timu inunue wachezaji kwa mapato ya ndani kwa maelekezo haya "the initial season, clubs will be permitted to spend 90 per cent of income on net transfers and wages, dropping to a new maximum of 70 per cent over three years."

Kingine ni kwamba Uefa, though, is prepared to step in with a new rule from this summer which will cap amortisation over the five year period that applies in most countries.

Lakini pia Fifa hua wana shauri mkatab miaka mitano ndio kikomo mpaka pale sio kikwazo katika nchi husika kwa mfano pale Uingereza wanaruhusu mikataba mirefu zaidi ya kikomo cha Fifa ndio maama unaona wachezaji pale Darajani wamepewa wengine miaka 7. Nadhani hapa ishu kuu sio kutoa huo mkataba mbali sasa huyo mchezaji asije kua flop ama injury prone aisee imagine una Kieta, Sako, Ziyech nk akiwa na miaka 8 kwa mshahara wa 150+k mbona wenyewe watapagwa vimbaya mno.

Walichokifanya Chelsea kinaitwa amortisation.

Tayari mpaka sasa Sterling, Kolobali hawana jipya Darajani kazi ipo maana kuwaweka hawa wachezaji wote wawe na furaha itakua ishu kubwa sana.

Hata Uefa ama Fifa wakija na sheria zao mpya hizi klabu zinakodi wanasheria kuangalia namna ya kuwekeza bila kuingiza timu kwenye mgogoro na Uefa.

Loopholes zitapatikana aisee.

YNWA
 
Klopp remains confident that Liverpool will finish top 4 this season
[ Maddock Mirror ]
I said this man is a day dreamer unless huko mazoezini anavaa miwani na kwenye gemu havai basi anakua na picha mbili tofauti..

Which top 4 for real Klopp awe na aibu hatuna huo mpira wala mbinu.. We are heading south in a very quick speed.

YNWA
 
I said this man is a day dreamer unless huko mazoezini anavaa miwani na kwenye gemu havai basi anakua na picha mbili tofauti..

Which top 4 for real Klopp awe na aibu hatuna huo mpira wala mbinu.. We are heading south in a very quick speed.

YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angalau sasa umepunguza kumuamini huyu baba yako.
Maana mwanzo wa msimu mlikuwa mnasema atatuvusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Angalau sasa umepunguza kumuamini huyu baba yako.
Maana mwanzo wa msimu mlikuwa mnasema atatuvusha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Klopp namwamini lakini tuwe realistic kwa hali hii ya wachezaji hatuna uwezo huo wa big 4 labda wapone Arthur, Jota, Diaz, Firmino na walete nguvu na ari mpya kikosini lakini kama mambo ni haya haya ya kwenda kutazama mechi tukijua ni kipigo basi Klopp akumbali yaishe mapema kwamba mashabiki tusiwe na ndoto ya big 4.

Kumwamini Klopp sawa je wachezaji wanaaminika sasa kucheza mbinu anazotaka Klopp maana wenyewe ni kama wameshanyanyua mikono kwamba msimu huu wapo wapo kushiriki lakini sio kushindana.

YNWA
 
Tunamwamini vipi wakati anatudanganya?[emoji16]
Hata ningekuwa mm mchazaji ningechoka
Huwezi kucheza bila kupumzika na usichoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The 2023 January transfer window has closed.

π—œπ—»π—°π—Όπ—Ίπ—Άπ—»π—΄π˜€

Cody Gakpo

π—’π˜‚π˜π—΄π—Όπ—Άπ—»π—΄π˜€

N/A

Thoughts?
Mchawi ni FSG hakuna kingine.

Outgoings wameuza dogo Cain huko Championship.

YNWA
 
Hahaha wale wachezaji ni ma robots vile huwaoni walivyo akina Milner akipimwa kisayansi ni mzima ajabu akija uwanjani hatuelewi ujue.

YNWA
Hii output wanayotupa inaendana kabisa na mishahara yao finyu

Huwezi mlipa mtu kidogo kwa kujitafutia sifa za kubana matumizi,na muda huo huo unataka adeliver mambo makubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…