Kiukweli hii livepool ya msimu huu ni mbovu mpaka inatia kinyaa. Kuondoka kwa suarez timu imekosa mipango kabisa. Msimu huu wasipokuwa makini wanaweza kuamia mtaa wa pili mbele ya mtaa wanaokaa man u
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.