Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuondoka kwa Ward hivi haiwez kuwa kwa sababu wamiliki wapya kuwa imminent, maan hata mwaka haujaisha mtu kama Ward kusepa.
 
Kuondoka kwa Ward hivi haiwez kuwa kwa sababu wamiliki wapya kuwa imminent, maan hata mwaka haujaisha mtu kama Ward kusepa.
Bhana ishu za Liverpool tangu zamani hua ni chini ya kapeti labda usome kwa James Pearce ama kwa home boy wetu MosDef ndio utajua kama kuna uhusiano wa Ward kusepa na kupatikana kwa wamiliki wapya klabuni.

Muda utasema lakini.

Hao wamiliki wapya waje tu maana FSG wamefika mwisho wa kuweka mkwaja wao.

YNWA
 
Hizi kuku zimeshaanza kunenepeana humu ndani, bora World Cup iishe haraka tuanze kusikia vilio vya maumivu humu jukwaani.
 
MosDef huwa anahabar nzuri sana, huwa nikikuta post yake lazima niipitie, japo me nishabiki wa chelsea,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…