Hamna huwezo uo kwa sasa, nyakati zenu zimeshapitaLeo ndo tunaanza ligi ipo hivi, leo LAZIMA tushinde Tena ushindi mzuri tu. Najua mashabiki wa arse8 watadiss Ila ndo ukweli graph yao inaanza kushuka Leo rasmi. City atabaki namba moja huku pupils wakibaki mbili. Ndio watakavokua wanashuka taratibu Hadi mwisho wa msimu watakaua wanapigania top four...
Liverpool 3 Arsenal 1
#YnWa
Usikariri mzee maisha yanabadilika,watapata goli ila na sisi tutapata magoli, Arsenal ni wazuri kwa hizi timu ndogo ndogo, kwa timu kubwa bado ni wadhaifu ( ukiacha Spurs ambao wamezoeana na Arsenal)
Halaand pia anauwezo sio kutengenezewa tuMsianze kumlaum Nunez aisee, Nunez angeenda man city saiv nako angufunga tu ni kulingana na nafasi anazo tengenezewa, Haaland anatengenezewa nafasi nyingi tofauti na Nunez mkuu.
Arthur yuko Liverpool kwa mkopo ndo nnavyojuaKlopp analenga vilema tu anatujazia hii ni danganya toto huezi muacha Nunez mido tam kabisa na umri mdogo ukabebe Athor ambae kimsingi sio m baya ila ameshaonekna kama ni kimeo kwenye tim hivyo atolewe tu yey kabeba.
Tunatia aibu sana msimu huu
Humu ndani munapata wapi nguvu za kukaa kujadili kitimu chenu cha mchongo?
Duh.....nimecheka,Hata msimu uliopita mlisema hivyo hivyo,tukawafunga mechi zote nne na hamkutufunga hata goli moja kwenye mechi tulizokutana narudia tena hata goli moja hamkutufunga na wakati mlikuwa kwenye form.
Hamjawahi kusema tunawafunga.hata kwa Man U mlisema hivyo hivyo na mkafungwa tena kwa aibu goli 3.
Hv klopp bila Henderson hawez ishi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hv klopp bila Henderson hawez ishi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hii ipo wazi sana Liverpool "inakatika" under presha na tena kwa wachezaji tegemezi ambao ni Trent, Salah, VVD, Fabinho...hawa ndio nguzo ya Liverpool na kwa sasa maswali ni mengi juu yao...You deserve kuwa fan wa LIVERPOOL
Umeongea kisoka sana
Japo mpira unamatokeo matatu. Lolote linaweza kutokea
Mfumo safiiii sana. Haya ndio mambo Klopp alitakiwa aanze nayo msimu na mpaka sasa transition ingekua fabulous...
Na Liverpool kwa sasa hata timu ndogo ndogo washatujulia hivyo na Arsenal naamini wamefanya homework yao vizuri watapata matokeo...watapata goli ila na sisi tutapata magoli, Arsenal ni wazuri kwa hizi timu ndogo ndogo, kwa timu kubwa bado ni wadhaifu ( ukiacha Spurs ambao wamezoeana na Arsenal)