hii timu haiwezi kufikia mafanikio hata nusu ya msimu uliopita,,,ikumbukwe kloop alisema msimu huu anacheza final tena napinga sana kauli yake sio kwa kikosi hiki
Kloop anajua ku build Team but ku rebuild hap ndio shida Inanziaga na ndio muda wake WA kuondoka unavyofikaga... MWAKA WA 7 mainz MWAKA WA 7 dortmund na huuu MWAKA WA 7 liverpool