Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
CL huwa haipangiwi sijui upo on fire ,cha mhimu ni kucheza mpira at the best kila match makombe yanakuja yenyewe...!Mkuu pambana angalau msimu huu upate CL bhana ni aibu na ubora huu wako kuishia kuwasidikiza wengine.
YNWA
Kwanini tusiende na 4-3-3 iliyozoeleka na imebalance kwenye attacking na defending
Haya na yaje yenyewe nyie subirini tu.CL huwa haipangiwi sijui upo on fire ,cha mhimu ni kucheza mpira at the best kila match makombe yanakuja yenyewe...!
Guardiola anaweka viungo sita tukiweka wawili tu tunapigwa za kutosha. Kati pabaki vile vile hendo Thiago FabinhoHapo tutakuwa tumecheza kamari kumuwekea upara viungo wa 2
Msimu ujao atapoteana.
Msimu ujao atapoteana.