ngumbuke
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 502
- 535
Tot 0-2 liva 50'
Asante! Rusha matukio kila baada ya dkk 5!
Tot 0-2 liva 50'
Kwa kawaida Pope huwa hacheki, lakini hapa ameshindwa uzalendo ...
Hahahaha Alberto Moreno is good 3-0
Ni goli!!? La ngapi? Yamefika manne ya mwaka jana?
ngumbuke ni bao la 3 katupia beki hatari sana Moreno!
Kama Sakho na Lovren wangeanza na Man City na kama Baloteli angepata kibali nina uhakika tungepata point(s)pale Etihad
Uwiiii!
Tanesco wametunyima raha! How was it?