Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu naQubali👍👍 naomba nyota ikuwakie upate shavu ukatuchambulie masuala ya soka katika kituo cha skyspots👏👏👏
 
The BAD BAD BAD NEWS...


Wakuu niambieni labda na makengeza kuhusu huyu bwana seriously tunamhitaji huyu Milner aongeze mkataba Liverpool... Haiyaaa sasa hawa akina Fabio Carvalho, Jones, Chamberlain, Keita, Bissouma, Fabinho, Henderson, Thiago nk watakua wanapata dakika namna gani hapa.

Hapa Klopp atuambie kwa kina aidha anataka abaki kama mentor kwa upcoming talent akicheza kuanzia dakika ya 90 kama leo au ni vipi jamaa.

Just let the man go to Leeds.

Klopp kawaambia wenye timu Milner abakie msimu mmoja tena.

Mbona simuoni Klopp kusema Salah apewe mkwaja na mkataba mpya, au Mane au Firmino nwa labda kwa vile Milner mkataba wake unaisha Juni 2022.

YNWA
 
Mkuu kam hil dili likitik Anfield italipuka kwa furaha😀😀
Watakutana wiki hii inaanza kesho kumaliza haya maneno aisee.

Kongole kwa Julian Ward huyu dogo tunamhitaji sana.

Baada ya Brexit ni ngumu sana kusajili hawa makinda aisee ma complications kibao, ndio maana unaona Liverpool wanakomaa sana kwa huyu dogo.

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…