Ila ww jamaa sijui hujielewi? Yaani unataka watu tu post kitu unachokitaka ww? Kila mtu anapost kutokana na feelings alizo nazo hili nijukwaa huru bhana usituletee ujuaji hata sisi ni mashabiki wa Liverpool bhana japo tukipoteza au makosa yakitokea tunapaswa kutoa hisia zetu em kwenda zako huko.You ain't that new to me brother
Kwa sababu hatucoment sana hapa usidhan kuwa hatupit katika jukwaa hili au sisi ni wagen
ET enz hizo unaitwa King ngwaba so am I supposed to be afraid of you
Sent using Jamii Forums mobile app
Any day of the week.We’d rather given them origi and 20m aisee
Traore uende klopp will be a hit
I remember Keita wa RB duuh was in dreams kumuona na ule uzi namba 8 wenye heshima ya Steve G.Keita ni injuries
But his impact in games Iko clear
You rarely see the cm scoring like naby
Ni basi tu sometimes tuko bised na British media
Keita stats are way better than perceptions
We always celebrateLeo hii mnashangilia kuingia final carabao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bowen hanaga injuries huyu dogo na day by day he is getting better. Mark my words huyu June 2022 will be auction left n right..Raphinah na Bowen ni more of attacking kuliko mido
Kwa timu ipi?Wakati sisi sahani la carabao lipo jikoni tunapakulia ubwabwa ,mengine yapo kabatini ........
Nyie mnashangilia kuingia final[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio kwamba upepo umekata ....We always celebrate
More ucl glory
Most consistent team in the past few years
Best stadium ambience
More haters everyday
Klopp the genius haha turned doubters to BELIEVERS...We always celebrate
More ucl glory
Most consistent team in the past few years
Best stadium ambience
More haters everyday
City ?Sio kwamba upepo umekata ....
Mmeanza kugombania masahani ambayo city tunalia msosi kila siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ohoo hata Mimi ni super moderator ,ila Sina mpango wa kupiga ban mtu [emoji1787]City ?
Kumbe wewe ni city?
Wa juzi?
Apologies nephew
I thought ninamjibu painkiller super modereta wa enzi zetu tunaanzisha huu uzi
Go back and do your homework son
Your mama is proud of you
Jf since 2010 ,...City ?
Kumbe wewe ni city?
Wa juzi?
Apologies nephew
I thought ninamjibu painkiller super modereta wa enzi zetu tunaanzisha huu uzi
Go back and do your homework son
Your mama is proud of you
Utajua hujuiJf since 2010 ,...
Wakati jf wanaleta habari za Bitcoin ulikuwa wapi mkuu ,at that time BTC ilikuwa inauzwa $2.12 ...
Au ulikuwa mbishi....
We started this thread and City was never…. Neeeever in the mapOhoo hata Mimi ni super moderator ,ila Sina mpango wa kupiga ban mtu [emoji1787]
Money talkshili swala la city kutawala ligi linakera, 4 trophies in last 5 seasons
2014, 2019 haya makombe yalikua yetu kabisa tukazembea kuwaachia cityMoney talks
It’s a new world now
Just accept
Toka 2010 unazurula jf hukuona Bitcoin mkuu[emoji28][emoji28][emoji28]Utajua hujui
Na tunataka kuifanya hio league yenu mnayoiita ngumu kuwa league 1 [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hili swala la city kutawala ligi linakera, 4 trophies in last 5 seasons