Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Bwana wee Jones ana shughuli sana huyu dogo yaaani hanaga papara anachojua ni kupeleka mashambulizi mbele hakuna kingine..

Akizidi kuaminika hivi na apate game time ya kutosha anaweza kabisa kuziba pengo la Gini na akawa bora zaidi kwa vile na umri bado sana.

Baada ya Reds Academy kutuletea mtalaam wa ma assist Trent Anorld sasa ni wakati wa Jones pure Reds mwingine huyu anakuja kushika namba. Hongera sana Academy. He is the next big thing.

YNWA
 
Fresh bloods are coming, maybe a couple of signings as well

Losing gini, milner and probably naby in 12 months may be a big hit Kwa the golden generation

Thiago ni glassy boy, hendo kabakiza armband tu na a few games

I hope succession plan Iko in place

Ox is also on a downward spiral
 

Sasa unachokifanya hapa ndiyo uonekane wewe ni hodari! mwamba! unajua kuongea! Ama vipi?

Hivyo vita nyuma ya keyboard unamtangazia nani labda?

Na toka lini maoni ya wengine ukapata ujasiri wa kuyafanyia ujuaji?

Hapa ni miaka kadhaa imeshapita na watu kama wewe wamepita na leo wametulia wanaishi kwa Shemeji zao.

Hii ni JF nakushauri Mdogo wangu ukae kwa kutulia! Hebu uliza hapa kipindi naitwa KING NGWABA kuna jamaa alijiita TAJIRI hapa na kupambana na kila Mtu leo hii yupo wapi?

Jaribu kujenga Nidhamu na kuheshimu maoni ya wengine.
 

Nadhani wengine hujisahau hii ni jukua huru sana.

Hahaha khaa hivi Tajiri kasepea wapi....

YNWA
 
You ain't that new to me brother

Kwa sababu hatucoment sana hapa usidhan kuwa hatupit katika jukwaa hili au sisi ni wagen

ET enz hizo unaitwa King ngwaba so am I supposed to be afraid of you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Signings gossip predict a very busy June 2022 for Klopp...

Mane contract ends 2023 June

Firmino contract ends 2023 June

Salah contract ends 2023 June.

Niwajuavyo FSG wetu hawa ma Yankees kuna aidha wote ama wawili safari yao kuuzwa imefika aisee.

Thiago majeruhi na sio jambo geni kwake yamemkwamisha. Huyu Thiago ki ufupi hatujaona ubora wake kutokana na mfumo. I hope 1 day Klopp can switch to 4 3 2 1 Thiago acheze double pivot na Jones man hili pengine mashabiki wataelewa kwa nini Klopp na kujua huyu bwana ni pancha alimsajili.

With super fit Thiago on top of his game utapata super pass from tight spaces, ball progression, ball security maana dogo ana turn ons za kutisha, ball retention, holding ball wengine wafungue space, super distributing, nk mtihani sasa abaki uwanjani bila kuumia damn hilo limeshidikana.

Succession a few names are popping up here and there.
Kuna Bowen wa Westham (£30m
Kuna Raphinah wa Leeds (£30m
Kuna Bissouma wa Brighton (£30m
Kuna Fabio Carvalho wa Fulham(£5m
Kuna Zakaria wa Monchengladbach(bure
Kuna Diaz wa Porto (£60m

In the meantime kuna dogo mmoja yupo Blackburn Rovers Bretton Daiz miaka 22 huyu dogo ni balaa sijui kama Chief Scout hajatua huko kumtazama.

Keita ni failed project ni mchezaji wa tatu kununuliwa bei ghali Liverpool lakini majeruhi na loss of form has taken its tall and he seem lost now. Huyu labda arudishwe RB tutoe na ela kidogo watupe huyu mwamba Christopher Nkuku haha what's a player.

Ox majeruhi again na loss of form, competition ya nafasi imekua ngumu kwake. Arsenal waje wamchukue aisee.

Henderson haha huyu no comments maana i think he tries toooo much to impress mpaka anaharibu aisee. He just have to stick to football basics and he will survive maana Uingereza unam favor haha.

YNWA
 
Baunsa Traore kwa £20m naona kama bei chee hivi na hii FSG hawana.

Bruno Rage anasema hii bei atafanya biashara sasa Conte kashamwambia Kipara Levy anamtaka dogo mtihani sasa msimu huu ana goli moja tu sidhani hata kama ana assist hivyo bei imeporomoka kutoka £60m miaka mitatu iliyopita mpaka hii £20m japo pia amegoma kuongoze mkataba.

Edwards awape Origi na £5m huyu dogo kwa mfumo wa Klopp atakua sawa.

YNWA
 
Raphinah na Bowen ni more of attacking kuliko mido
 
Keita ni injuries

But his impact in games Iko clear

You rarely see the cm scoring like naby

Ni basi tu sometimes tuko bised na British media

Keita stats are way better than perceptions
 
We’d rather given them origi and 20m aisee

Traore uende klopp will be a hit
 
Someone had to say it so take it or leave it

We can't have people who attacks the team when we draw or loose instead of "fair analysis" as you said and expect fair analysis when we win

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure we can’t have people attack the team

But do we want people who attack other members ?

Gademu
 
He’s good for smaller teams

Not powerful for team like westham, crystal palace or Brighton
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…