Sisi siyo man you.Kaangalie mkuu
Usinichoshe[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Btw,magoli tuliyotakiwa kuwatandika wenzenu jana tutalitandika hilo chelsea lako,na tutaongea na mengine na hakuna chochote mtatufanya.
Hata mimi nilitaka nisiangalie..Mimi siwezi angalia match ya liva puru maana hawanaga maajabu.
Waletee waleteee.Sisi siyo man you.
Sisi ulishashindwa kutufunga hivyo tar 2 hesabu maumivu makali sana.
Unalidiss goal moja ila wewe hukuweza kulipata.The next matches we are going to win non stop.
Goli moja tu mmekenua meno yote...inaonyesha jinsi gani liverpool tulivyo unbeaten hadi goli moja mnaruka juu kama mgambo.
MsituchosheUnalidiss goal moja ila wewe hukuweza kulipata.
Mkapewa na penalty ya mchogo ila wapi.
Mechi ya kwanza mlipewa penalty na tukapewa red ya kiboya.. this time upepo wa penalty upo Darajani.. na kwetu hatukosi kama nyie.. kaa kwa kutulia.Msituchoshe
We are the best still.....
Wewe kenua tu meno wakati msalaba wa mabao yote tuliyotakiwa kufunga mtaubeba nyie.
Chelsea msinichoshe,mna maneno meeeengiiii.
Tulieni huko subirini kupoteana.
We fala imekuwaje unalingana point na timu inayofungwa kila siku? Kama sio wengeNililala fresh tu na ndoto nzuri nikaota.
Chelsea timu lenu linadraw na kugongwa kila siku,na sisi tunakuja kuligonga tar 2.
Ajiandae kisaikolojia.Mechi ya kwanza mlipewa penalty na tukapewa red ya kiboya.. this time upepo wa penalty upo Darajani.. na kwetu hatukosi kama nyie.. kaa kwa kutulia.
Sisi shughuli yetu uwanjani inafahamika.Msituchoshe
We are the best still.....
Wewe kenua tu meno wakati msalaba wa mabao yote tuliyotakiwa kufunga mtaubeba nyie.
Chelsea msinichoshe,mna maneno meeeengiiii.
Tulieni huko subirini kupoteana.