Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,471
- 32,922
Nilikuwa nacheck penalties aiseeWow
Just wow
Babe i thought uliniambia hutaanglia 😳Dah!
Afadhali aisee[emoji847][emoji173]
YNWA[emoji108]
Mpira mpaka refa apulize kipenga cha mwisho.Comeback ya maana...mpira uitwe mpira
Nilivyoona penalty nikaona niangalie babe.Babe i thought uliniambia hutaanglia [emoji15]
Shujaa. Sio kama Karius Captain Marvelous 😂😂
Basi acha uongo banaNilivyoona penalty nikaona niangalie babe.
Napenda game ya penalties.
Sijaangalia mechi.
Bila huyu mwamba kudaka leo nilikuwa nipo kulia machozi[emoji7][emoji173][emoji91][emoji91]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Basi acha uongo bana
Kabisa yaaniThis time kila kombe lililombele yetu tutakufanalo.
Watu walioingia second half kama wangeanza hata huku kwenye penalties tusingefika.Sasa namwomba Klopp tuwe serious hawa wajinga watatudharau sana! Hili kombe tuchukue tu hamna namna!!
Haiwezekani bana babe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimeangalia pelnaties tu babe[emoji38]
Klopp huwa anavuta bangi huyu mzeeWatu walioingia second half kama wangeanza hata huku kwenye penalties tusingefika.
Unateseka ukiwa wapi mkuu?Mwaka huu mnaondoka bila kikombe tena, ligi kuu anajulikana bingwa ni city, Uefa nayo anaweza chukua city, bayern au mwenye Uefa yake R.Madrid