Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tutolee stori uchwara hapa ..hamuna timu ya kubeba kombe lolote msimu huu
 
Tutolee stori uchwara hapa ..hamuna timu ya kubeba kombe lolote msimu huu
Kusoma tu kipa wako Kepa hapo ume panic ndugu..na pale mlipigwaaaaaaaaa

Huu mchezo hautaki hasira wala majivuno yaaani ukileta kiherehere Moyes anakuzima 😂😂😂😂😂...

Teh teh teh nani hamuogopi Chelsea khaa kama unakumbuka mwanzoni mwa msimu nilikwambia uzima wa Kova na Kante ndio usalama wako ila kwa vile unapenda kujilesi hukuelewa sasa hivi ndio ushalegezwa ujue 😂😂😂😂🔥

YNWA
 
Sitasahau lile goli alilookoa vs napoli
 
Sitasahau lile goli alilookoa vs napoli
Yaaani ile save ilikua dakika ya 92 shoti kali sana kutoka kwa Arkadiuz Milik. Ile gemu ilikua aidha tushinde 1 bila ama Napoli wakifunga moja basi na sisi tuwapige 2 ina maana pale dakika ya 92 Napoli wangepata goli ilikua tumetolewa Champions League msimu ule 2018 2019.
Sevu yenyewe hii hapa.





YNWA
 
Oh
Hiyo mechi aliyofunga goli sikuangalia ,itabidi niicheki.


Tuendelee mkuu
Nafurahi sana kusoma maandishi yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…