Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,596
- 81,585
Uwe unachangia sasa. Mimi huwa nakuwepo na kupotea kidogo.Sure huwa napita tu kimya kimya siku moja moja ila sijawahi kuchangia chochote. Tuko pamoja boss.
Happy to see Kelleher hauna pressure kumtazama he is so fantastic indeed.
Mane a centurion...What assisist.!!!!!
Definetly world class.
Atolewe aingie Jota tuKuna chanel kibao bobby anapoteza. Bado hajarudi kwenye kujiamini.
Kafunga na goli huyo dogoKuna chanel kibao bobby anapoteza. Bado hajarudi kwenye kujiamini.
Mi nilitakiwa nilipie leo nashangaa zote zimefunguka hadi premium...aiseeDah! Dstv sijui imekuaje nililipia kifurushi cha 21000 et wamenipa niangalie channel nyingi hadi premier league hivyo leo naenjoy hii mechi
Kunasiku kulikuwa na shida sasa sijui ndio wametoa offer?Mi nilitakiwa nilipie leo nashangaa zote zimefunguka hadi premium...aisee
Angalau leo zile pressing zake zipo zipo..Kuna chanel kibao bobby anapoteza. Bado hajarudi kwenye kujiamini.
Mbona kwangu hakuna nililipia jana cha 21, hako ka offer naomba kanipitie...nimezima na kuwasha lakn hamna kituDah! Dstv sijui imekuaje nililipia kifurushi cha 21000 et wamenipa niangalie channel nyingi hadi premier league hivyo leo naenjoy hii mechi