Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kuna mechi za "kipumbavu" huwa mara nyingi sizipendi na zinatuangusha. mechi vs
Everton
Man United

hizi mechi hata wapinzani wetu wawe flop vipi huwa tunakuwaga na ka kitete ka kijinga sijui kanatokeaga wapi, City huwa akiwa kwenye pole position ya kuchukua ubingwa huwa hanaga mechi za kijinga, hapo ndipo City wanapotuzidi
 
Vs Everton ni Merseyside Derby
Vs Man u ni British derby- classic English rivalry

So sio kizembe
 
Pale Klopp alichemka maana Stretford Boys walikua hoi na majeruhi yaani tunakwenda pale walikua wanajiona wamepigika lakini khaa haikua gegenpressing ikawa haoooo sare maua yaaani ile ni moja ya mechi niliona kabisa kocha wetu amezidiwa mbinu kabisaaa....

YNWA
 
Vs Everton ni Merseyside Derby
Vs Man u ni British derby- classic English rivalry

So sio kizembe
manchester derby ikiwa city anahitaji ushindi kuchukua kombe( kwamba akifungwa au sare anahatihati ya kuukosa) hapo kuna kuwa hakuna derby wala dada yake derby iwe nyumbani au ugenini City anashinda, ikiwa ni liverpool mechi za hivo wanatoa sare
 
kitete tuu kuanzia kocha na wachezaji
 
manchester derby ikiwa city anahitaji ushindi kuchukua kombe( kwamba akifungwa au sare anahatihati ya kuukosa) hapo kuna kuwa hakuna derby wala dada yake derby iwe nyumbani au ugenini City anashinda, ikiwa ni liverpool mechi za hivo wanatoa sare
Sijawahi kupata sababu hasa refer 2013/2014 vs chelsea
vs palace
 
Mambo ni mazito sana haya...

Manchester United, Manchester City and Liverpool have joined forces to charter a private jet to ensure South American stars are back from international duty in time for this weekend's Premier League matches.

YNWA
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…