Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu wahi file hospital ya milembe ....


Tunazidi kupoteza nguvu ya taifa ,vijana wanazidi kuchanganyikiwa na kuwa machizi ..

Mungu tusaidie ...
 
Mkuu wahi file hospital ya milembe ....


Tunazidi kupoteza nguvu ya taifa ,vijana wanazidi kuchanganyikiwa na kuwa machizi ..

Mungu tusaidie ...
Duuh Pain killer kama Pain killer haya muda utasema.

Yatatimia huu ni mwaka wa Salah kupidua meza kibambe... Muda wa Messi na Ronado kutawawala hizi tuzo unaelekea ukingoni na binafsi natamani kuona Salah akiwa sasa level hizo za ushindi wa tuzo hio murwa na adimu.

YNWA
 
interms of numbers, tuzo isipoenda kwa Lewandowsk basi ifutwee tuu

I agree with you! Tatizo ni kwamba huyu Lewa ligi aliyopo tu Watu wanaifumbia macho, angelikuwa Barcelona au Real Madrid basi angelioewa Ballon D'or.
Leo hii eti Ballon D'or apewe Joginho! itakuwa the worst Award ever! Joginho hata ndani ya Chelsea hana uhakika wa namba.
 
AMEN.
 
Messi kwa Copa America na hao Waitaliano kwa Euro 2020 hao wengine watasubiri au tutapata sapraizi kama ya Modric..

So far mkeka unasema favourites ni kama ifuatavyo.
View attachment 1969972

YNWA
kwamb hizi tuzo vigezo vinawekwa kulingana na performance ya messi au? VVD alipokuwa favourites wakasema ni individul sio makombe akapewa messi, sasa lewandowsk yupo vizuri induvidual vigezo vinabadilika tena iwe ni makombe?

sioni messi, jorginho, kante au mtu yeyote aliyeperform better than lewandowsk
 
ukiacha ligi, individual performance yake tuu champions league ilikua nzuri
 
Of course ndugu ni down to best performance ya mwaka ulioisha huwezi kua bench warmer aafu utegemee kua mshindi wa hii tuzo..

Ukishajua mshindi anapatikana aje basi inakua powa kabisaa.. Tazama 👇 👇
.. The Ballon d’Or is an annual football prize presented by France Football. The award, voted for by football journalists, is given to the male player who was deemed to have played the best football over the previous 12 months..

Lewandowski ni chaguo lako hivyo tuachie wanaopiga kula wapige ili mshindi apatikane akashinde yeye ni powa kabisa anastahili..

Messi kashasema kura zake mbili anatoa kwa Neymar na Mbappe.

Muda utasema nani mshindi.

YNWA
 
ndio maana Suarez alisema interms of votes ni ngumu kuwashinda Ronaldo na messi, so alifurahi kuwa beat interms of numbers na kuchukua golden boot ingawa kwa kura hata top 5 hakuwemo
 
ndio maana Suarez alisema interms of votes ni ngumu kuwashinda Ronaldo na messi, so alifurahi kuwa beat interms of numbers na kuchukua golden boot ingawa kwa kura hata top 5 hakuwemo
Kwa mfano VVD 2019 alikua aipate aisee sema huku Afrika kura nyingi zilikwenda kwa Mane hivyo hizi kura kwa kweli ni mtihani sana kubalance kuwapiku Messi na Ronado...
Msimamo ulikua hivi 10 bora


YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…