Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu Salah hua kwenye locker yake zimo zimo aliwai kuwafunga Tottenham goli kama lile aisee mwaka 2018 February 4.

Aliwafunga Tottenham Hotspur identical goal kama la juzi na lile goli was pure class na sensational kwa kweli.

YNWA
 
View attachment 1966579
Happy Birthday Trent Alexander-Arnold

134 PL Appearances
43 Clean Sheets
35 Assists
8 Goals

1 Premier League 🥇
1 Champions League 🥇
1 Super Cup 🥇
1 Club World Cup 🥇

He turns 23 today!
Daaah! At the age of 23 kashatoboa wakati kichaa nna 45 bado naamini ipo siku tu!!
 
mkachukua nn kwenye uo msimamo[emoji856][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Jibu swali sisi tulikuwa wa ngapi kwenye msimamo wa league na nyie mkawa wa ngapi?
 
Steven Gerrard no the favourite to land the Newcastle job if Steve Bruce is sacked.
View attachment 1967004
Hawa Saudia waliikosa aje Liverpool miaka ileeeeee.
Kwa namna walivyo na njaa ya kuteka hii EPL naona Conte angewafaa kwa vile kwao waarabu mpunga upo wa kutosha.

Epl itazidi kunoga sanaaaa...

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…