Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hao madogo wa darajani wakivamia uzii ni Kama nungunungu ,pumba tupu ....

Unaweza fikili wamevuta bangi
cheki ili lishabik la arsenal lililojificha nyuma ya tim ilojulikana 2005 liko lenyew kama mloz[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Unamia Liverpool kisa katoa Drow na Man city?.

Mashabiki wa Arsenal utawajua tu[emoji23][emoji23][emoji23]



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Karibu kwa majogoo mkuu..upate furaha iso kifan wewe na familia yako...CHELSEA NI JIPU MUDA WOWOTE LINAPASUKA..EPL NI MBIO ZA MARATHONI KM 42...TUCHEL HAZIWEZI

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Karibu kwa majogoo mkuu..upate furaha iso kifan wewe na familia yako...CHELSEA NI JIPU MUDA WOWOTE LINAPASUKA..EPL NI MBIO ZA MARATHONI KM 42...TUCHEL HAZIWEZI

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Unaiongelea Chelsea ipi? mabingwa wa ulaya au Chelsea ya Nigeria,ila kama ni hawa Chelsea mabingwa wa ulaya mwaka huu niwao hakuna wakuwazuia mjipange.
 
Ollachuga Oc njoo huku.

Salute kwako ndugu. Salah kwa sasa anatisha sana.

YNWA
 

Unachosema ni kweli lakini kwa jinsi hali ilivyo sidhani kama hao jamaa watatimuliwa kirahisi maana inafahamika kuwa wordclass coaches ni wachache sana na ukiangalia mafanikio waliyoleta hao jamaa ni ngumu kuwatimua kiwepesi Zaidi ya kuwaboreshea vikosi inapohitajika...kama KLOPP KAWAPA UEFA(ambayo mlipoteza kwa 14yrs since 2005) na EPL(ambayo mlipoteza kwa 30yrs) PEP kawapa CITY EPL 4 na wamefika fainali ya UEFA kwa mara ya kwanza(japo alipoteza lakini sikushangaa ata journalist na wanamichezo wakubwa duniani walijua ile mechi city ana asilimia kubwa za kupoteza MAANA KIHISTORIA NI NGUMU TIMU IKAFIKA FAINALI KWA MARA YA KWANZA NA KULIBEBA LILE KOMBE), Kwahiyo bado naamin kun muda mrefu wakushuhudia gemu za hao watu, Ona spurs walivyomuondoa pochettino kinachotokea sahiv pale?...Kwa Man U hadi sasahivi wanafahamu fika kama hawana kocha pale wanampanga kikosi tu Na nionavyo bwana Nuno akiendelea na mwenendo mbovu pale Spurs Wanaeza agree zile terms za conte wakamchukua kitu ambacho ManUtd watakuja jilaum mbelen kumn'gang'ania Ole wakati Conte alikuwepo, kwa upande wa zidane simkubali sana...mimi ni madrid lakini naamin zidane alikuwa na watu na timu ilishajengwa ndomaan alifanikiwa pale bernabeu....ona #ManUFans wanachosema hapo baada ya ile game ya Anfield #LastSunday....​



 
Walimtazama Aaron wa Norwich ishu kuu ni mpunga mrefu sasa sina uhakika kama hata hua mpango upo kwa sasa....

Ili mambo yakae sawa hapa atue Bissouma ili asimame upande huu huu wa kulia alipo Salah na TAA... Pata picha mbele Salah kati Bissouma nyuma TAA lol tutakua sorted big time.

Neco yupo slow kushambulia pia slow ku defend huyu angefaa mkopo Championship ili akae sawa...

YNWA
 
Aisee huyu sasa ushakua ushindani wa kudumu ndugu japo ki ukweli Manchester City kwetu hakuaga na kifua ilikua anakaa home and away sema kwa sasa wanapambana haswa kufuta huu uteja..

Nasema ni wa kudumu design kama Chelsea ilivyo sasa tangu katua Mourinho ushindani na hawa jamaa uliongezeka sana na mpaka sasa mechi yetu na hawa jamaa hua full package.

Wakiodoka Pep na Klopp nina uhahika huu ushindani utazidi kua hivi hivi maana ili uwe bora lazima umpige alie bora na tangu watue Mansor pale Ethad jamaa kila mwaka wapo bora aisee hivyo hawa tunao sana tuu...

YNWA
 
Karibu sana mkuu, ila lile pipa halina lolote njoo Liverpool ufurahie maisha. Kwanza Liverpool ni team ambayo huwa haina stress saana kama wapaki mabasi, man u Arsenal n.k.
 

PREMIER LEAGUE WENYEWE WALIPOST WANATAMBUA HILI...!

PETER DRURY ANAKWAMBIA "LIVERPOOL vs CITY", The rivarly of our days...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…