Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,606
- 81,641
If im JK
Alison
Milner
Vvd
Phillips
Henderson
Keita
Fabinho
Salah
Mane (Minamino) bahati mbaya Mae mwanaye hatoki wala kuanzia bench.
Firmino.
Hesgoal.com
Ukiona shabiki wa LIVERPOOL anamponda Salah kwamba ni mchoyo auzwe, mpige makofi kesi nitakuja kuijibu mimi hapa.
Mkuu naahid nitakuwa wa kwanza kutukanana nao hao .Wapo wengi hapa subiri Jota na Mane waanze kufunga kama Mechi 3 mfululizo basi watakuja kusema Salah auzwe.