We acha tuHapa mbele tunapoteza mipira sana
Kabisa alafu huyu Mane kajificha wapi? Yaani tupigiwe nyumbani [emoji23][emoji23]Tuna kauzembe fulani tunafanya
Managers wengi wa Epl waki switch 3 4 3 hatunaga ujanja kwa sababu midfielder wetu uwezo wa ku control kiungo hawana.Tuchel kuwadhibiti TAA na Robertson