Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Ni kweli kabisaPep kashapeleka ofa kwa Grealish huku na Kane wakiweka mikakati kumnasa.. Yaaani Pep kachukua ubingwa kafika fainali UCL na bado anaona kikosi kinahitaji kuongezewa nguvu..
Kama tunaingia EPL na hawa wachezaji waliopo bila shaka tusahau kitu kinaitwa ubingwa wa EPL.. Tumejaza ma pancha mnoooo...
Hivi Matip, Gomez, Keita na Chamberlain, Henderson like serious unaweza kuwategemea kuleta ubingwa huku muda mwingi wanatibiwa...
Hii mechi ya juzi imeonyesha dhahiri VVD ana safari ndefu ya kupona hivyo sitegemei kuona ule ukuta wetu ukiwa konki yaaani...
YNWA
Bwana wee hata Carragher anasema kwa VVD uvumilivu unahitajika aisee. Ajabu sasa FSG wasipowauza akina Origi, Karius, Keita, Shaqir nk wapo tayari kumuuza Phillips ili wapate mkwaja kununua AM mmoja.Ni kweli kabisa
VVD anaweza kurudi kwenye uwezo wake baada ya mechi kama 15 na kuendelea au asirudi kabisa, katika hili Tujiandae kiakili .
hao jamaa hawawezi kuwa fit wote mpaka game ya 10 tuu ya msimuPep kashapeleka ofa kwa Grealish huku na Kane wakiweka mikakati kumnasa.. Yaaani Pep kachukua ubingwa kafika fainali UCL na bado anaona kikosi kinahitaji kuongezewa nguvu..
Kama tunaingia EPL na hawa wachezaji waliopo bila shaka tusahau kitu kinaitwa ubingwa wa EPL.. Tumejaza ma pancha mnoooo...
Hivi Matip, Gomez, Keita na Chamberlain, Henderson like serious unaweza kuwategemea kuleta ubingwa huku muda mwingi wanatibiwa...
Hii mechi ya juzi imeonyesha dhahiri VVD ana safari ndefu ya kupona hivyo sitegemei kuona ule ukuta wetu ukiwa konki yaaani...
YNWA
Aisee hii timu naona ipo tee mbaya.hao jamaa hawawezi kuwa fit wote mpaka game ya 10 tuu ya msimu
Huwa nikimuona Fab3 nakuwa na amani sanaa