Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Wewe hujielewi kweli ,unafikili ni mtu mmoja kawaweka hapo eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]France
Germany
Ureno
Hawa hawakupaswa kuwekwa kundi moja wakati kuna makundi yamejaa Matakataka matupu.
huu mstari ausome Captain Marvelous
wewe jamaa rangi nyeusi hujawahi kuitamka nyeupe
Ameghaili kuangalia majina naona hata yule beki ghali sijamuona au anaumwa?Hivi Southgate ni nani aliyemroga? Inamana hajui kuwa Le Cepitano ni Mchezaji bora wa EPL? Sasa anapata wapi Ujasiri wa kutokumgaia hata dakika za kuokota mipira? Kwa hiyo kamchukua akawe Mtalii au?
Wewe hujielewi kweli ,unafikili ni mtu mmoja kawaweka hapo eeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameghaili kuangalia majina naona hata yule beki ghali sijamuona au anaumwa?
Timu bahili kama mchaga wa kishumundu unategemea nini ..Hiv kwann WIJ mlishidwa kumuongeza mkataba?
Sisi tuta sajili ila wachezaji wa benchi kua mpoleNimesikia Daka anaenda Leicester