mkombengwa
JF-Expert Member
- Dec 4, 2011
- 3,180
- 3,458
Kila nikimfikiria olachuga bora wachukue city ,lakini pia kila nikimfikiria pain killer bora wote wasichukue kitu ambacho hakiwezekani... Yoyote atakayechukua HATUTAKUNYWA MAJI HUMUVip jumamosi mpo upande gani Chelsea au city?
Main issue ndugu ni fitness ya Kanote ni mtihani sana aisee.1/ Positives about Kabak:
I like Kabak's positive play - those forward-bound forays & passes but that's as good as it gets.
2/ Negatives about Kabak:
He doesn't suit Klopp's highline defending due to his lack of pace.
Also I note lack of situation anticipation in a defending sense, needless to mention his apparent poor positioning
Conclusion:
I won't shed too much tears if/when he goes!
Huyu ni Shetani? Au ni nani hebu nisaidieni Viongozi.
Mkuu anatufaa kuja kukaa wodi na wenzie mana hata Lepzing wameshukuru walai.Dogo ndio kwanza nadhani ana 22yrs hivyo ana muda wa kufundishika na kupandisha resale value.
Kwa namna tulivyoteseka msimu huu any new comer is highly welcome.
Klopp wont pay this kind of chums kama hana mpango nae.
Huyu anatufaa sana.
YNWA
Hivi hata sielewi Klopp wanaona nini kwa huyu dogo.Mkuu anatufaa kuja kukaa wodi na wenzie mana hata Lepzing wameshukuru walai.
Huyo ni mgonjwa kama wagonjwa wetu tu
Countinho tumchukue nadhani ameshajifunza. Alifikiri timu zote zitamtreate vizuri katika maisha yake ya soko. Akirudi atapambana sana kwa nguvu ili arudishe heshima yake aliyokuwa ameanza kuiweka Anfield.Hahaha naona unamkubali dogo...
Rodrigo De Paul, Neves, Telieman, Yves, Camavinga, Aour, Coutinho, Nabir Fekir nk hawa MFs wote wanatajwa kwenye nyuzi za majuu za udaku kufuatiliwa na Liverpool
Muda utasema.
YNWA
Kulingana na bajeti kua finyu itakua ngumu labda kwa mkopo malipo baadae.Countinho tumchukue nadhani ameshajifunza. Alifikiri timu zote zitamtreate vizuri katika maisha yake ya soko. Akirudi atapambana sana kwa nguvu ili arudishe heshima yake aliyokuwa ameanza kuiweka Anfield.
Kulingana na bajeti kua finyu itakua ngumu labda kwa mkopo malipo baadae.
Kwa sasa naona Klopp anatua kwa Yves Bissuoma mazima baada ya kumnasa Kanote.
YNWA