Karius amekataa kuongeza mkataba anataka kuondoka.Expected Departures from Liverpool this summer.
Sales
Origi
Harry Wilson
Taiwo Awoniyi
Sheyi Ojo
Ben Woodburn
Liam Millar
Xherdan Shaqiri
Karius
Grujic
Unconfirmed
Taikumi Minamino
Adrian
Keita
Matip
Chamberlin.
Probably Loan.
Elliott.
Ray Williams
Sepp.
YNWA
Aende zake huko hana loloteKarius amekataa kuongeza mkataba anataka kuondoka.
Sijui mshahara mdogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mtihani uliopo ni kwamba kocha mpya nae Mreno hivyo naona akiwa na maelewano na contingent ya Ureno akiwemo huyu Neves. Kingine huyu dogo ana mkataba mpaka 2024 hivyo sasa sioni tukimpata kirahisi.Huyu najipa iman kumpata sababu ya kocha wake kuondoka.
Spirit ya Liverpool hamasa ya Klopp itavutia wengi.
Tatizo ni tag price zitatushinda
Duu like serious wampe mkataba huyu dogo 😃😃...Karius amekataa kuongeza mkataba anataka kuondoka.
Sijui mshahara mdogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Yeah na soko la sasa ni gumu.Mtihani uliopo ni kwamba kocha mpya nae Mreno hivyo naona akiwa na maelewano na contingent ya Ureno akiwemo huyu Neves. Kingine huyu dogo ana mkataba mpaka 2024 hivyo sasa sioni tukimpata kirahisi.
Klopp pale Wolverhampton naona angepata nafasi angemwedea mazima Traore.
YNWA
Hahaha ataondokaAende zake huko hana lolote
[emoji23][emoji23] labda tutajuaje jamaa anawakazia FSG??Duu like serious wampe mkataba huyu dogo [emoji2][emoji2]...
Hivi ana undugu na Klopp au.
Ale kona bora hata kilaka Fabinho akae golini kuliko huyu dogo.
YNWA
Yves na Rodrigo de Paul nawakubali sana....Hahaha naona unamkubali dogo...
Rodrigo De Paul, Neves, Telieman, Yves, Camavinga, Aour, Coutinho, Nabir Fekir nk hawa MFs wote wanatajwa kwenye nyuzi za majuu za udaku kufuatiliwa na Liverpool
Muda utasema.
YNWA
Angalia huyu takataka mwenye mawazo ya kimasikiniUjinga kweli mzigo! Eti Chelsea wamalize Ligi juu ya Liverpool!!!!
LFC kwa sasa ndiyo wamiliki wa English football. YNWA!Naona Kuna vishabiki maandazi vya liverkuku vimeibuka baada ya kuotea hiz game mbili tatu za mwisho.
Nasemajee ..hii looserfools haitobadilika chochote msimu ujao ..Kama wachezaji ndo hawa wa homa za vipindi.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Naona Leeds wamejitoa kumnasa De Paul.
Mnatuletea maistoria hapa ..leta Nini mmebeba msimu huu ..angalia iyo jumamosi tunapeleka msiba mwingine apo jijini Manchester.LFC kwa sasa ndiyo wamiliki wa English football. YNWA!
Halafu kwenye mzani wa soka England tuna mshindani mmoja tu (huyu hapa chini ambaye naye ni mgonjwa mahuhututi kwa sasa!)
View attachment 1799012
Hiyo siku mkichafuliwa mtapotea kwenye hili group, hamna lolote nyieMnatuletea maistoria hapa ..leta Nini mmebeba msimu huu ..angalia iyo jumamosi tunapeleka msiba mwingine apo jijini Manchester.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
1/ Positives about Kabak:Gossip Mill.
On-loan Schalke star Ozan Kabak has “no chance” of staying permanently at Liverpool, according to renowned transfer guru Fabrizio Romano.
YNWA