Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Game ya mwisho mtapasuliwa au mtakamatika draw na C Palace ..hapo ndo mtakapojua kwenye mpira kuna uchawi pia..

#CFC
 
Chelsea anaenda kukutana na Aston villa alafu Leicester city anakutana na Tottenham kwahyo hao wapinzan wetu mmoja wapo lazima anyonyolewe manyoya
 
Chelsea anaenda kukutana na Aston villa alafu Leicester city anakutana na Tottenham kwahyo hao wapinzan wetu mmoja wapo lazima anyonyolewe manyoya
Aston Villa ashinde ashindwe atoe droo atabaki namba 11 tu
 
Chelsea misimu miwili mfululizo kutoa huu alikuwa hana Red kadi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…