Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
Yaani hata sielewi huu uwoga wa nini maana kila mbinu aliyokuja nayo Anfield 2021 amefeli maana hatujashinda na hatuna goli from open play pale Anfield zaidi ya ile penati ya Salah dhidi ya Manchester City hakika hio dalili mbaya sana.Klopp na mambo yake ya kukariri ,yeye (Klopp) amekariri kwamba lazima Firmino ampange Tisa na lazima Gini (Ambae hawezi kukaba) ampange 8 au 6
Yaani hata sielewi huu uwoga wa nini maana kila mbinu aliyokuja nayo Anfield 2021 amefeli maana hatujashinda na hatuna goli from open play pale Anfield zaidi ya ile penati ya Salah dhidi ya Manchester City hakika hio dalili mbaya sana.
Sasa Klopp should have the balls and try something new sio kutegemea Robbo na Trent ku create as usual wakati sasa wamekamatika vilivyo.
Kuna hawa watoto MFs wa academy na wapo very highly rated Leighton Clarkson na Jack Cain nadhani ni muda awape dakika sasa maana kikosi kipo hoi kinahitaji new players new dimension new tactics huo ndio ukweli.
YNWA
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Thumbs up masterLiverpool's ThiagoView attachment 1717680View attachment 1717681
[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Thumbs up master
Timu inayocheza vizuri ni City Mkuu, Chelsea ni homa ya vipindi, they are just having good run...hata wakati wa Lampard kuna kipindi walikuwa na mfululizo wa matokeo mazuri lakini baadae waka flopMkuu ila hongereni maana nyie msimu huu sio tiGo kwmba kila yeyote anajipigia ila pia nikupe pole kwamba msimu huu hata nafasi ya pili namuona Chelsea ndio akishika nafasi ya pili sababu Chelsea kusema ukweli ndie anacheza vizuri katika Big Six wote
Yaani hata sielewi huu uwoga wa nini maana kila mbinu aliyokuja nayo Anfield 2021 amefeli maana hatujashinda na hatuna goli from open play pale Anfield zaidi ya ile penati ya Salah dhidi ya Manchester City hakika hio dalili mbaya sana.
Sasa Klopp should have the balls and try something new sio kutegemea Robbo na Trent ku create as usual wakati sasa wamekamatika vilivyo.
Kuna hawa watoto MFs wa academy na wapo very highly rated Leighton Clarkson na Jack Cain nadhani ni muda awape dakika sasa maana kikosi kipo hoi kinahitaji new players new dimension new tactics huo ndio ukweli.
YNWA
Finished player, Hakuna anachokifanya uwanjani zaidi ya kumtengeneza vi stats vya kipumbavu Eti kapiga sijui pass 198 kwenda mbele, Sijui ame dribble mipira 70 kila mechi ndio kazi yake hiyo,Yaani jamaa ni Liability tu.Liverpool's ThiagoView attachment 1717680View attachment 1717681
Stev tena? yale yale ya kuongozwa na mahaba!Kama ni kweli Germany national team wanamtaka huyu mtu waje tu wampeleke huko STEVEN GERRARD achukue team tu.
Hahahahahahahahah.....Na nina MAHABA Mazito kwa Steve huniambii kitu kwa Captain fantastic.Stev tena? yale yale ya kuongozwa na mahaba!
psg tufanye nao biashara, wamchukue kati ya salah na mane mmoja watupe kylian....... kisha unaongeza mmoja!Some disappointment in life can be a blessing in disguise so haya matokeo especially Anfield ni ujumbe tosha kwa hao FSG kubadili hii business model.
Klopp kashawatumia ujumbe Juni 2021 ni Rebuilding the team especially MF na front line na defence pia. Sasa ni je hawa akina Origi, Shaqir, Milner, Ojo, Grujic, Wilson nk mauzo yao yataleta hio cash yakufanya kweli mapinduzi au je wenye timu watategemea Edwards shrewd tactics sokoni. Muda utasema.
Sokoni tunatajwa kuwahitaji wafuatao
Strika Erling Halaad kutoka Dortmond,
Strika Mbappe kutoka PSG
Strika Sarr kutoma Watford
MF Housem from Lyon ,
Mf Yves from Brighton
MF De Paul kutoka Udinese
MF Declan Westham
MF Lucas Ocampo from Sevila.
CB Elder Militao kutoka Real Madrid.
CB Greison Bremer kutoka Torino.
CB/MF Alaba kutoka Bayern.
RB Maxi Arons kutoka Norwich.
Nk nk nk.
Kwa hao wachezaji sioni mchezaji chini ya £15m hapo. Ina maana aidha pale mbele lazima kati ya Salah au Mane mmoja auzwe je kwa hii hali hasara vilabuni especially Real Madrid na Barcelona je wengine wataweza kutoa mpunga wa +£100m? Kuna PSG, Kuna Juventus, Bayern na Atletico Madrid angalau hawa wanaweza kutoa ofa japo sioni wakitoa £100m kwa vile na wachezaji wenyewe wame drop. Hivyo ile sell to buy ya FSG tunakwama mapema tu.
YNWA
Mwisho wa ligi Chelsea huwa hatulali, hatulegei wala hatubabaiki. Wee kesha tu ukidhani Chelsea itaflop hadi tukuache kwenye mataaTimu inayocheza vizuri ni City Mkuu, Chelsea ni homa ya vipindi, they are just having good run...hata wakati wa Lampard kuna kipindi walikuwa na mfululizo wa matokeo mazuri lakini baadae waka flop
Sent from my M2004J19C using JamiiForums mobile app
Championship hawatofika, wanatakiwa wabaki kwenye ligi ili tuendelee kuwapa kipigoSoon mnaenda kuwa mid table timu ..
Level zenu manaenda kushindania nafasi ya 10 na arsenal ..
Uefa ,Europa mnaenda kuziangalia kwenye TV ..!
Mods fungeni huu Uzi ,mpaka miaka 30 tena ,hii timu mdogo mdogo inashuka chini kwenda championship..
Busines model ndio itatufelisha. Lazima wakubali utofauti wa Europe na America business in sport. Sasa mf. Wale nike huenda under this silly business model wameona watakula hasara sana.Some disappointment in life can be a blessing in disguise so haya matokeo especially Anfield ni ujumbe tosha kwa hao FSG kubadili hii business model.