Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

The likes of Steven Gerrard, Scholes, Lampard and Ballack waliokuwa na utamaduni wa kushot out of 18yards ni vigumu sana kutokea tena kwa zama hizi.

Sasa tuna watu wa tap-in
Kwa zile ngumu kama hii ya leo bwana Chambo ingemfaa sana na mashuti yake shinda je angemaliza dakika ngapi bila majeraha...

Hicho kizazi naona ni KDB mwenye hizo shots za nje ya 18 kwa sasa EPL...

Hakuna cha New SteveG wala new Lampard nk...

YNWA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…