Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Sasa utashangaa vs Wolverhampton utamuona Adrian golini ndio utajiuliza Klopp anavuta cha Arusha au Bavaria zimemkolea....Biashara ni asubuhi
ahahah Adrian atuache kidogoSasa utashangaa vs Wolverhampton utamuona Adrian golini ndio utajiuliza Klopp anavuta cha Arusha au Bavaria zimemkolea....
EPL kazi ngumu sana msimu huu hakuna muda wa trials hapa...
YNWA
Mpira bhana unahitaji akili za Klopp Klopp ona wekedi iliyopita Jumamosi kulikua na gemu ya Under 23 kati ya Liverpool vs Manchester City na tulichezea goli 7 huku golini akiwa Caoimhin Kelleher huyu huyu aliewazima Ajax....ahahah Adrian atuache kidogo
Kuna haja ya kusajili sana tu kwakweli hapo nyuma hata watatu hivi
Some awesome news to start the weekend...Klopp anasema TAA na Keita wako fit kwa ajili ya mechi ijayo.
Ox Chamberlain amekaribia kurudi.
huyo TAA ndiye muhimu zaidi kwa mechi ya wolves, kwa jinsi nilivyomuangalia yule neto dhidi ya arsenal kama atacheza na mlinzi mzembe mzembe dhidi yenu basi atamsokota sana zaidi ya bellerinKlopp anasema TAA na Keita wako fit kwa ajili ya mechi ijayo.
Ox Chamberlain amekaribia kurudi.
huyo TAA ndiye muhimu zaidi kwa mechi ya wolves, kwa jinsi nilivyomuangalia yule neto dhidi ya arsenal kama atacheza na mlinzi mzembe mzembe dhidi yenu basi atamsokota sana zaidi ya bellerin
dah! wenyewe hawawezi kukubaliana na wazo lako.Arsenal ni midtable team, siyo team ya kuitumia kama mfano unapoizungumzia Liverpool mkuu.
Wolves, Arsenal, Newcastle, Crystal Palace, Southampton nk sasa hivi ni timu zinazo ongea lugha moja.
dah! wenyewe hawawezi kukubaliana na wazo lako.