Mbona lestercity wana majeruhi sawa na sisi na wao nguvu zimezidi
Mabeki ndo kila kitu pamoja na uzuli wake beki ndo muhimuJuu ya kuwa tuna majeruhi lakini Timu nyengine ni dhaifu kuliko sisi that's why sina wasiwasi.
Mimi shehemu moja tu ikipita majeruhi ndiyo huwa sina amani tena! Guess whom?
Ni ALISSON BECKER.
Mpaka leo ninaamini kuwa Kama ALISSON asingeliumia na angesimama golini kwenye Mechi ya Aston Villa na Everton basi zile mechi tungelishinda mchana kweupeeee.
Haiwezekani tutoe Draw na City ndani ya Etihad then tushindwe kumfunga Everton au tufungwe goli 7 na Aston Villa! Never Never Never Never!
Kitu pekee nilichogundua Washambuliaji wakimkuta Adrian huwa wanakuwa na Uchu wa kujaribu hata nje ya Box that's why Villa walikuwa wakifika nje ya 18 wanaachia golini wanajua utababatiza japo mabeki na kuingia golini.
Na siku ya mechi yetu na City golini angekuepo Adrian nakuhakikishia tungeoga mvua ya magoli.
Hata zijengwe hoja gani za kumlinda Adrian basi kwangu mimi namuhesabu kuwa alituchomesha tu.
Kwahiyo kuumia kwa BECKER kwangu mimi ni tatizo, lakini kwa mchezaji mwengine yeyote basi kwangu hata sina pressure ya Ubingwa! Na ndiyomana hata VVD alipoumia basi sikutetereka najua Alison Becker atasimama on behalf of VVD.
Sababu inayonipa ujasiri sio kwamba tuna Timu nzuri baada ya majeruhi!!! Ni kwamba wengine wapo dhaifu kuliko sisi.
Mechi nane out of 38 ushasema nyie ni bingwa aisee[emoji23][emoji23][emoji23] timu zinazidiana Point moja moja
Table inapinduka, kila Weekend
Subili Weekend lecister City awaonesheUbingwa unarudi Anfield hata kabla msimu haujaanza tulishajua
Hiyo migari mbona ina sura ya utopolo?Aloo poleni na majeruhi ila ndio ukubwa huo
Si kwa sababu na wewe ni utopoloHiyo migari mbona ina sura ya utopolo?
View attachment 1628741
View attachment 1628742
View attachment 1628741
New Training Facilities with Modern equipment with 3 Training stadium..
Its will host both the Team A and the junior teams...
Its can't get better than this... Thanks FSG..
YNWA
Nope it has to be much much better than there, they have to get us a 90k spectators capacity stadium
Aisee....ila nahakika TUTATOBOA....... TearsView attachment 1629210
Compound idiotHuyo unayemjibu ni Robot unless awe verified kuwa ni Binadamu.
Binadamu hawezi andika ujinga muda wote that's why huwa siwaquote watu aina hiyo hata wakiniquote.
Werner ni mashine ya kazi ..huyu Jota bado sana mkuu ..ana mengi ya kujifunza kwa Werner.Alachuga ondoa ushabiki Jota na Wener nani mkali kwako.
Mimi kabla ya usajili nilimkataaga si kwamba ni mbovu bali ilisemwa ataingia kwenye front 3 yetu.
Kwa hili ondoa utani kwa muda
Angalia Werner na Ziyech wanachofanya kwanza.Karibu kwenye chama mkuu.