Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,909
Nalia mimiKwani pancha Thiago amepona...
Hapo kwa Thiago weka Jones acheze upande wa Milner kumsaidia defence na kushambulia pia..
YNWA
I had my concerns back in September and there has been no reason to quash those same fears todate.
How Klopp sail us through this solid crisis will define his loaded credentials as top flight manager who reclaimed the EPL title with a dilapidated squad we have here...Nalia mimi
KUKU kama KUKU msimu huu ndio mtajua kuwa hamjui
Hata mtembee uchi ha2tojua na ha2tajua dozi ipo pahali yake Mkuje 2KUKU kama KUKU msimu huu ndio mtajua kuwa hamjui
Naimani mazuri yapo palepale Kuna madogo wapo na wanaki2 kikubwaKwa hali ya majeruhi tuliyonayo, hata tukipata sare game zote zilizopo mbele kabla ya dirisha kufunguliwa january, mi kwangu itakuwa poa sana...
Kwanza UCL tushafuzu 16 bora (kwa msimamo ulivyo hakuna kizuizi)
so muhim ni Klopp afocus kwenye ligi...by january angalau tuwepo kwa top six....
#in klopp we trust#
Hii iko poa kutokana na ishu ya Fitness
Kikosi kipo cha kutosha cha kusikitisha ni Madogo tu wa Academy na U23
Ila kocha kama si Club imefanya makosa sana kusajili viungo wa kukaba wachache mno miaka 5 iliopita maana DM tumesajili wawili tu (Fabinho na
Wachezaji wametumika sana kwa misimu mitatu mfululizo na kikosi chenu hakikuwa na regular rotation. Kwa hiyo majeraha yatawaandama sana kuanzia msimu mpaka mtakapo sajiri upyaHuyu Bundi wa Injury na Corona aliyetua Anfield marahii inaonesha hata kwa Manati hafi.
Relax doc hahahaha we are Liverpool no retreat no surrender.....
Wachezaji wametumika sana kwa misimu mitatu mfululizo na kikosi chenu hakikuwa na regular rotation. Kwa hiyo majeraha yatawaandama sana kuanzia msimu mpaka mtakapo sajiri upya