kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,111
- 21,660
Baadae usisahau kurudi hapaLiver mtaliwa Leo !!! Mark my words
tangaza goli letu basi.20'
Corner for Liverpool
Jino kwa jino Mwambammerudisha kudadeki
tangaza goli letu basi.
Maneeeee π₯π₯
Ndiyo..Kumbe wewe Liverpool kama mimi?