Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,471
- 32,922
Hopefully there is sell back clause ama 1st refusal to buy...
Hapa liverpool tumepigwa..the second minamino
Tulia kabisa ndugu..Hapa liverpool tumepigwa..the second minamino
Hahahaha nataka nimuelewe kuanzia kesho. Akizingua tutakuwa tumepigwaTulia kabisa ndugu..
Taikumi utakuja kumwelewa..
YNWA
Kwani minamino tumepigwaHapa liverpool tumepigwa..the second minamino
Liverpool itakupa uchizi watupie macho na ndugu zako mapundamilia wa ManchesterHapa liverpool tumepigwa..the second minamino
Angalia jinsi unavyoropoka ujinga. Kesho ndo utajua hujuiEdwards sasa tunaona namna anavyotumia kichwa chake vizuri .
walijua wangeanza kusajili mwanzo sko lilikuwa na ushindani mkubwa hasa Chelsea walikuwa wanasajiri hovyo
Hata wakikuta umevaa jezi mtaani wanakusajiri..!
Saivi mwishoni baada ya team nyingi kukamilisha nakufunga usajiri sisi ndo tunajibebea mafundi kiulainiiii.
Robo tayari ana Tsimikas kuhusu Taa naona kabisa Klopp ataendelea kumtumia NecoSasa tumebakiza beki mmoja atakayefit na Vvd ikiwezekana vvd asipokuwepo yeye achukue mikoba.pia TAA na robo wanahitaji backup itafikia muda watachoka