salaam kops wote.
First half 3-2. Wachezaji wetu ni wale wale ila timu sio ile ya msimu ulioisha. Kuna shida kweye backline yetu. Kuna kutokuelewa kwingi haswa wale wa kati. VvD na Gomez.
Kukosekana kwa Fabby ndio chanzo cha kupoteana kwa beki zetu.
So far tunaongoza. Klopp aangalie haya mapungufu na yafanyiwe kazi.
Salah bado ni moto mkali. Bobby leo hayupo vizuri.