Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Ka kweli TAA apatiwe mbadala wake haraka sana Leo hayupo tumeona madudu yaani sasa siku akiumia je..? Atacheza uyu janja mzembe?
Robo maji anayomwaga yote haya yanapitiliza .kati atuna finisher wa ukweli Leo mpk kina vvd wapande..
Again Mikel homework is working so far his game plan is quite a catch...Tukisema tusajili tunaambiwa tunajenga Future kwa kusajili Vitoto, ona sasa leo hayumo TAA basi mashambulizi yote yanatoka upande wa kushoto wa Robbo, Upande wa kulia hakuna shambulizi lolote.
Hii timu imeshajifia
Mane kapigwa tobo na kitoto cha Arsenal daa aibu nimeona mimi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Endeleeni kubana matumizi
Hadi newcastal atawagonga
Anawatoboa na nyie leo tusichekane.Hivi unakumbuka kuwa Auba ndiye aliyekudungua Fainali FA ?
Sasa ngoja uone tutakavowafanya hawa.
View attachment 1552177
Mbele ya Auba kila kitu kitakuwa wazi leo.Usikimbie mwisho mkuu