Hatuwezi kutetea EPL kwa vitoto kama hiviTukisema tusajili tunaambiwa tunajenga Future kwa kusajili Vitoto, ona sasa leo hayumo TAA basi mashambulizi yote yanatoka upande wa kushoto wa Robbo, Upande wa kulia hakuna shambulizi lolote.
Ni kweli ila milner hawezi kutupa 100% ya mahitaji yetu.Naamini hatutasajili right back coz kipenzi chao, babu Milner yupo atakuwa replacement
Game is still open mkuuitoshe tu kusema kuwa mmeshikwa
Huyu dogo utumbo mtupu
Yap ni kweli, ila tunahitaji mtu aliye tayari rather than him kwa sasa.Huyo Dogo ni mzuri na ana kipaji to be honest, lakini bado hajawa mzoefu wa kucheza mechi kama hizi.
Kiukweli baadae atakuja kutusaidia sana.
Tunaaminishwa Bob anatosha hahah huu mzaha.Ka kweli TAA apatiwe mbadala wake haraka sana Leo hayupo tumeona madudu yaani sasa siku akiumia je..? Atacheza uyu janja mzembe?
Robo maji anayomwaga yote haya yanapitiliza .kati atuna finisher wa ukweli Leo mpk kina vvd wapande..
Kwanza mzeeNi kweli ila milner hawezi kutupa 100% ya mahitaji yetu.
Ngao bado 50% 50% mkuuIwe juwa iwe mvua hii ngao lazima tuibebe
Auba ni real finisher AB hakuwa na nafasi mkuuA.Becker anafungwa hadi na Auba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmefika peak yenu sasa
Usikimbie mwisho mkuuPiga mbuzi haoooo
A.Becker anafungwa hadi na Auba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mmefika peak yenu sasa