Front 3 yetu imepungua makali
Hahahahaha Ngwaba alitoa angalizo lakini kuwa ni kikosi chake[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe panga chako mtie Bruno kwenye mbao ndefu au jukwaani kabisa, maana mimi huyu hata jukwaani hawezi kukaa...
Mane Auba Mahrez
Neves Rodri KDB Trent
Soyuncu VVD Laporte
Ederson
Subs:
D. Henderson
Robertson
Aaron
Mings
Chilwel
Ndidi
Cantwely
Madson
Jordan Brien Henderson
Vardy
Stearing
Jahazi langu linaongozwa na Africans[emoji123]
Bila kumweka Mchezaji Bora wa mwaka siyo kikosi hicho.
Mkuu yani huyo Bruno na Kante waanze mbele ya Fabihno? Aiseeeee hii mm nakuwa tofauti kabisa na wewe, Bruno na Kante wanaweza kuanza mbele ya Keita anayeumwaumwa mara kwa mara lakini si mbele ya mwamba Fabby
Hahahahaha Ngwaba alitoa angalizo lakini kuwa ni kikosi chake[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe panga chako mtie Bruno kwenye mbao ndefu au jukwaani kabisa, maana mimi huyu hata jukwaani hawezi kukaa...
Mane Auba Mahrez
Neves Rodri KDB Trent
Soyuncu VVD Laporte
Ederson
Subs:
D. Henderson
Robertson
Aaron
Mings
Chilwel
Ndidi
Cantwely
Madson
Jordan Brien Henderson
Vardy
Stearing
Jahazi langu linaongozwa na Africans[emoji123]
Sasa wewe hujui kama Le capitain ni majeruhi au kusudi????Nina uhakika akija mshabiki wa Chelsea atasema toa Auba ni takataka hiyo halafu watamueka Abraham [emoji23][emoji23][emoji23]
Enewey! Umetuekea kikosi cha Carabao hicho [emoji16]
Umenasa kwenye Mtego mdogo sana yani Le Captaino Henderson umemueka sub? [emoji23][emoji23]
Huyo kwanzu haanzi kwani mimi sitegemei penati kusaka ushindi, huyo abaki home tu aangalie wanaume kina JordanBruno Penaltyndez ni bonge la mchezaji
Mkuu unaonaje mkatupa huyo Jordan Henderson ili tuwape AUBAMEYANG,Kwenye Mitandao mengi kuanzia JF, FB, Twitter na Insta ukikuta kikosi basi lazima AUBAMYANG utamuona tu frontline, hii ni kuthibitisha kuwa Auba ni most consistent centre foward in the World since yupo Germany mpaka sasa EPL.
Mimi nilikuwa ni miongoni mwa Watu tuliokuwa tunalialia Klopp amsajili huyu mwamba lakini mwisho wa siku FSG wakapiga U-turn kwenye kutoa Minoti.
Hapo ndiyo wazee post - comments aka "Klopp's type of player" wakaibuka kutoka mafichoni kuwa "Auba si aina ya Wachezaji Klopp anaowahitaji" but at the sametime tuna Minamino anasifiwa ndiye aina ya wachezaji wa Klopp.
Ukweli ni kwamba hakuna Kocha hata mmoja Duniani asiyetaka kufanya kazi na Auba.
Tukiwa na mchezaji aina ya Auba akikutana na Miassists ya TAA na Robbo next season tunaibeba EPL ndani ya Mzunguko wa kwanza.
Na ndio uhalisia ulivyo mkuu,Bila kumweka Mchezaji Bora wa mwaka siyo kikosi hicho.
Another Liverpool legend who leaves the club, because he was absolutely a very, very important part of this team from the first day since I was in," Klopp said.
"When he was fit, he was very, very, very often in the team. A great player and a great person. Really good, in the air a machine, and I really liked working together with him. Said Klopp
Where we are now after departure of Lovren.. πππ
In addition to Van Dijk, Matip and Gomez, Liverpool currently have Dutch 18-year-olds Ki-Jana Hoever and Sepp van den Berg as options in the position.
YNWA
True brother...I would be happy if we replace him with the proven CB.
Gomez and Matip are always sidelined due to injuries, and as I see it, next season will be so demanding and tough.
We are going for 2 peat and compete for all that will be available, which is FA, Carabao and UEFA. So we need an upgrade in that area.
Mkuu unaonaje mkatupa huyo Jordan Henderson ili tuwape AUBAMEYANG,