Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,591
Kibarua kitakuwa kulibeba tena ndani ya miaka 4 na kumtunza Klopp. Bayern Munich, Inter, Barcelona watamsarandia. Success yake ndani ya miaka 3 ni ya ajabu. Lingine ni kutengeneza a winning team baada ya msimu huu na ujao, mastar wengi wanaingia 29 yrs old soon.. Wachezaji watasarandiwa kununuliwa hasa na timu za Spain etc. Mawazo yangu tu.
[emoji3]Haitabeba kombe lolote.
Mastar wote wamezeeka, na wale ambao hawajazeeka watahamia Real Madrid, Barcelona na Bayern.
BTW: Klopp anaondoka baada ya huu msimu kuisha.
still tunahitaji kusajili 2-3 players..... (an attacking player is a MUST, then lb and possibly another am)Klopp and the rest of Liverpool’s coaching staff have already decided that Curtis Jones will replace Adam Lallana in the squad, and is set to get a lot more opportunities next season. [@_pauljoyce]Klopp and the rest of Liverpool’s coaching staff have already decided that Curtis Jones will replace Adam Lallana in the squad, and is set to get a lot more opportunities next season. [@_pauljoyce]
NAAM HIKI NILIKISEMA NA KUTAMANI PIA.
Am fine honorable Swalehe, how was there?how are you reds
Forget that hakuna usajili mkubwa. Mbadala wa salah ni elliot anapandishwa. Origi/minamino/brewtser watakabaki kuwapokea mane na firminho.still tunahitaji kusajili 2-3 players..... (an attacking player is a MUST, then lb and possibly another am)
Forget that hakuna usajili mkubwa. Mbadala wa salah ni elliot anapandishwa. Origi/minamino/brewtser watakabaki kuwapokea mane na firminho.
Nico William na KIJANA watampokea Alexander anorld.
Kati ndo kumejaa balaa
Kuna milner gini Henderson keita Jones na fabinho.
Sehemu PEKEE inayohitaji msaidizi ni kwa Robertson.
Akiondoka lovren atapandishwa van de berg/na kijana naweza pia kuingia hapo.
Mjinga sawa sawa na ujinga wake... Nimependa hiiHaitabeba kombe lolote.
Mastar wote wamezeeka, na wale ambao hawajazeeka watahamia Real Madrid, Barcelona na Bayern.
BTW Klopp anaondoka baada ya huu msimu kuisha.
Hongereni Liverpool halisiWana Liverpool HALISI tuzidi jipongeza kwa ushindi wetu!Tulibezwa sana n kutukanwa lkn tukaweka imani kwa Klopp na wachezaji!
Liverpool itazidi ng’ara chini ya Klopp.
Huu msemo wako wa liverpool halisi sijui chimbuko lake ni nini?Wana Liverpool HALISI tuzidi jipongeza kwa ushindi wetu!Tulibezwa sana n kutukanwa lkn tukaweka imani kwa Klopp na wachezaji!
Liverpool itazidi ng’ara chini ya Klopp.
Mbona hamustill tunahitaji kusajili 2-3 players..... (an attacking player is a MUST, then lb and possibly another am)
Naona kila mwanakop anayependekeza usajili hapatilii maanani kabisa golini, ni kweli ni nadra sana golie kupata majeraha ila kama na msimu ujao tunaenda ucl bila backup ya Becker tujiandae kutolewa kwa aibu kama tulivyofanywa na ATM, sikupata usingzi siku 3 sababu ya Adrian, mpaka dakika ya 100 tunaongoza goal 2 kwa nyau halafu dakika 10 tu pazia linakuja kuruhusu goli 3 tena mashuti ya nje ya 18 kwa anfield ilizalilishwa pakubwa sana na hilo pazia.Forget that hakuna usajili mkubwa. Mbadala wa salah ni elliot anapandishwa. Origi/minamino/brewtser watakabaki kuwapokea mane na firminho.
Nico William na KIJANA watampokea Alexander anorld.
Kati ndo kumejaa balaa
Kuna milner gini Henderson keita Jones na fabinho.
Sehemu PEKEE inayohitaji msaidizi ni kwa Robertson.
Akiondoka lovren atapandishwa van de berg/na kijana naweza pia kuingia hapo.