Dunia gani unayoizungumzia wewe mkuu? Hii ambayo El Cholo anaishi au?Sisi ndio mabingwa wa Dunia yote,ulaya na uingereza,hakuna kama sisi.hata wapinzani wagale gale chini wote sisi ndio wafalme wao wote
yah ila kiboko yao wa Mafanikio Uengereza ni Liverpoolfc Number haziongopi.Wenzako(Chelsea, Man City, Arsenal, Manchester United) walishakata gundu miaka kibao iliyopita. Ukishalibeba unaanza upya. Ndio maana walikuwa hawazungumzii hiyo miaka kama vile hawazungumzii walioteremka daraja. Tunajua kuna timu kubwa kadhaa zilishuka daraja na kurudi top flight katika historia zao.
It cant be possible though to win 2 EPL trophies mfululizo it isnt easyAnd yet the you guys did the catch most of the time we were sleeping 😴.....
We won last our 18th EPL trophy 1989 - 1990 aafu aliyeshinda zaidi anazo 20 tu... Pamoja na sisi kupoteana zaidi ya miaka 30....
No wonder they fear us being at our best and we heading back there with full force..
Now we aim for the 20th.....
If you are a beliver sky is the limit..
YNWA
No wonder why most of Manure fanboys are 90s and 2000s generations!
Before walikuwa wanajiproud kuwa "We've 20 League trophies while you've only 18"
Baada ya sisi kulinyandua this season wamebadilisha gia angani na kusema "We've 13 EPL while you've only 1".
They are completely insane