Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mandela alifungwa miaka 27, Liverpool miaka 30 ndio wametoka gerezani.
 
Babu amepata shock ya nguvu mno aisee...

Kipindi cha nyuma alimpedekeza sana Klopp atue pale Stretford End lakini Klopp aliwagomea taarifa za gossip ni kwamba mkewe Klopp alimshauri he is made for Liverpool πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚.. And we are made for him πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚...

YNWA
 
The winner after 3 decates
And yet the you guys did the catch most of the time we were sleeping 😴.....

We won last our 18th EPL trophy 1989 - 1990 aafu aliyeshinda zaidi anazo 20 tu... Pamoja na sisi kupoteana zaidi ya miaka 30....

No wonder they fear us being at our best and we heading back there with full force..

Now we aim for the 20th.....

If you are a beliver sky is the limit..

YNWA
 
Sisi ndio mabingwa wa Dunia yote,ulaya na uingereza,hakuna kama sisi.hata wapinzani wagale gale chini wote sisi ndio wafalme wao wote.waendelee kupambana na hali zao huko
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…