Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Neco William nilisema ndo mbadala wa Alex anord. Lovren lallana shaqiri wakisepa
Elliot Jones minamino na van berg wataziba. Sioni usajili msimu huu
 
Good Bado point ngap? Tutangaze uchampion? Wetu?

Bado unahesabu za ubingwa? Mbona tumeshabeba zamani tu bali Corona ilituchelewesha.

Mimi sasahivi nimeshaacha habari za kukaa kwenye TV nikaangalia Liverpool kutafuta ushindi, Ninachoangalia kwasasa ni Performance ya Timu tu na wala sio habari za kuweweseka na ubingwa.
 
HAKUNA KITU KINANIUMA KAMA KUSHEREKEA UBINGWA WETU BILA MIKUSANYIKO YA MASHABIKI HUKO UINGEREZA CORONA NI US.....NGE.
 
Mimi leo niko zangu nafuatilia LIvescore Chelsick Vs Man Shit huku nikiwatakia kila la kheri Chelsick... Yaani wakiwatwanga hawa majamaa au hata wakitoa droo tu....vijana wangu wanatwaa ndoo wakiwa hotelini...

Natamani nimwone msaliti Raheem Sterling anavyoumia anavyowapa vijana ubingwa wakiwa hotelini wanakunywa wine...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…