Uzazi wa Mpango
JF-Expert Member
- Apr 4, 2012
- 1,382
- 1,232
Very dissappointed lakini napenda sana loyalty yako kwa timuLiverpool HALISI hamna haja ya kutukana team,waacheni Liverpool MASLAHI waendelee kutukana team!
Tulikuwa na msimu mzuri sana na tumechukua EPL.
Sasa tuanze maandalizi ya sherehe yetu inafanyikia wapi na lini
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kibanda chako kimemwagiwa maji...Adrian kacheza mechi nyingi vizuri kuliko vibaya,hata super cup alitupa yy!
Kwa sasa anapitia tu kwenye kuwa na form mbaya,tumuunge mkono tusimbagaze
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kashamba aka ka kuku shinhoAndy Robertson: βTheyβve celebrated as if theyβve won the tie after the game. Weβve got Premier League business to take care of, then weβve got Anfield. We know our fans will be there, we will be there. Itβs up to Atletico to be there.β
Sent using Jamii Forums mobile app
AtleticoTuassume kipa asingechoma hizo goli mbili.
Mngetoka 2-1
Aggregate ingekuja 2-2
Nani angepita?
Inamaanisha umefurahi sababu uliyoyazungumza yamethibitika?Dah! Kweli Mungu ni mwema [emoji23][emoji23]
Nilisema mengi kuhusu Adrian nikapingwa lakini leo kawa Exposed.
Nasubiri waliokimbia Uzi muda huu wakija hapa asubuhi au Mchana watakuja na vijisababu vya kutengeneza vingi vya kumtetea.
Tuassume kipa asingechoma hizo goli mbili.
Mngetoka 2-1
Aggregate ingekuja 2-2
Nani angepita?
Inamaanisha umefurahi sababu uliyoyazungumza yamethibitika?
Hata angepigwa goli 5 Karius hawezi kuwa bora kwa Adrian
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida umeanza kashfa kabla hata ya mazishi,hakuna liverpudian ambae hajaumia kwa matokeo ya leo kuwa mpoleNingekuomba jambo 1 tu! Usinitilie maneno yako kwenye kinywa changu.
You don't know how I feel.
Subiri kwanza dawa iingie,,,hata siku haijaisha unasema limeshapita?
Bado lipo linapiga kwa ky kama muddy
Unaweza kuwa na wachezaji wenye uwezo na usishinde UEFAIli uweze kushinda uefa lazima uwe na wachezaji wenye uwezo sio mtu kama adrian,lileboko alilolitoa atabadilisha kila kitu .
Ila hiyo itakuwa funzo kwa klopp na kwa team nunua wachezaji wenye uwezo ,iliuweze kushindana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
kadake weweShida sio kufunga maana kama ni hivyo tayar tulikuwa tushaongoza ila kipa ndo kachoma goli mbili za kizembe kabisa