Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
I knew that bearded lad was destined for big things when we faced them in preseason and he showed Trent fire...the lad (Bruno) is in the Eriksen's sort of frame.
Manure has struck gold landing that boy, let's be honest.
Kabisa March 2020 upo uwezekano tukatangaza ubingwa wetu mapema bila hata kuingia uwanjani...Na J5 vs Arsenal,tunaweza bakiwa na mechi moja kutangaza ubingwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani inakuwa handless job kabisa [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kabisa March 2020 upo uwezekano tukatangaza ubingwa wetu mapema bila hata kuingia uwanjani...
Come on Mikel show the Arsenal faithfuls anything that Ole can do you can do better...
YNWA
Manchester City juhudi zake sasa ni kuwatoa Madrid UCL asonge mbele...city watadondosha points kwenye game zao mbili zijazo,,,,, maana next week wana madrid so obviously concentration yao itakua huko!
ubingwa tunaweza kwenda kutangazia goodison park!..... next monday![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
May the losing cloud hang over Citizens for the next two games and we will say WOW...
Hope umelewa mkuuKuna tofauti gani kati ya Berando Silva na lallana..., what happened kwa haka kajamaa
Kuanzia hapo come on mikel....Kabisa March 2020 upo uwezekano tukatangaza ubingwa wetu mapema bila hata kuingia uwanjani...
Come on Mikel show the Arsenal faithfuls anything that Ole can do you can do better...
YNWA
Big talk..I mean Big talk manTuweni wakweli jamani Manure wameramba dume kwa Bruno Fernandez, sisi wacha tuwe na Mentality za kusajili kina Cantwel
Bernadine Silva amekuwa chini ya kiwangoHope umelewa mkuu
But am sorry
hio ya burnley points watadondosha...... maana j4 yake wana madrid
Hawa Leeds warejee EPL itazidi noga sana kama walivyo Blades na Wolves kuchukua pointi kwao lazima ujipange...Kama nakumbuka vizuri walikuwa najamaa anaitwa Keane naye alikuwa hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha jana Ole kafanya yake sasa kazi kwa Mikel atupe rahaa wana Reds....
Kuna tofauti gani kati ya Berando Silva na lallana..., what happened kwa haka kajamaa
yan pep style yake ya football imekwama msimu huuInconsistency
ndio mkuu,usipojua unarudishiwa pesa yako.....ukifika tu unapewa supu ya dictionary ukiimaliza unapewa na juice ya tense,wiki mbili tu unakuwa kama mlevi wa gongo au mashabiki wa liverpool wakifungwaga yaani unatema umombo tu kudadadekHahahaha yule wa kingereza kwa miezi mitatu au? Na usipojua anakurudishia ela yako? Iv ni kweli anarudishaga?
Sent using Jamii Forums mobile app