Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,590
- 81,568
Kwani watu hawali tenere hiyo siku?Uzuri wa ushindi wenu bhana hautakuwa wa shamra shamra kama inavyotakiwa iwe kwasababu mmejua mapema kwamba mmeshachukua
Ni kama vile umeishi miaka nenda rudi na mwanamke weeeeeeeee halafu eti mnakuja kufanya harusi....hakuna jipya
UshaanzaKwani watu hawali tenere hiyo siku?
Mpunga bana siku ya sherehe.Ushaanza
Tenere ndio nini sasa?😂😂
Mkuu kikubwa ushindi ni siku ya kutumia silaha zote muhimu ata akiingia sub uzuri awe fiti tu....na usishangae akianza pia maana dimba la Kati tumeliona kipindi Cha game mbili tatu tulivyo.Henderson hiyo mechi hatakiwu kuanza ila awepo Tu kwenye benchi kuna Hali flani(mzuka) itaongezeka Kwa wenzake wataoanza hasa kutokana na hii ya kuonekana bila yeye tumefanya vibaya...mfano kuna mechi Uruguay ilicheza na ...,(sikumbuki) Suarez hakuwa fit ila akawepo Tu nje anapasha misuli mpaka mechi ikaisha ila iliyofuata alianza Vs England na akatupia mbili..Kwa tuliocheza kidogo chandimu tunaelewa ile Hali ya mchezaji flani tegemeo akiwepo siku hiyo baada ya kutukuwepo kitaa mda mrefu inavyokuwa...
USHAURI HATA HENDERSON AKIWA FIT SIKU HIYO ASIANZE KWANZA PRESHA ITAKUWA KUBWA SANA NA ATABORONGA AINGIE SUB..
Sent using Jamii Forums mobile app
Marcelo Alberto Bielsa Caldera huyu mzee namwelewa sana... He is the godfather of modern football man.. This time naona akiwapandisha Leeds EPL wanaongoza ligi Kwa pointi 71... Wameshinda mechi 5 mfululizo na sasa wanaamini ni EPL super candidate...
Hope za Aguero na KDB nitaziona vizuri tu na leo
Hivi Manchester City akipigwa Leo, aafu Arsenal nao wampige, aafu ajitoe mhanga Kop Sean Dyche nae ampige ina maana tutatangazwa mabingwa bila kuwa tumeingia uwanjani tena... Meaning Foxes nao wazidi kupoteza..Hope za Aguero na KDB nitaziona vizuri tu na leo
Hii awareness ya Mane kwamba that ball was his to win is just impressive and Salah to improvise that tricky assist from Mane and spot that corner is pure superb instincts...
Yes ..sema kubaki nayo labda wampandishie dau ..nasikia anagombaniwa na vilabu vya ligi kuu italy na Spain hatari....Marcelo Alberto Bielsa Caldera huyu mzee namwelewa sana... He is the godfather of modern football man.. This time naona akiwapandisha Leeds EPL wanaongoza ligi Kwa pointi 71... Wameshinda mechi 5 mfululizo na sasa wanaamini ni EPL super candidate...
Kupanda kwao kutazidi kunogesha EPL huku nikiamini kocha Marcelo atabaki nao...
YNWA
Hahahahaha aisee
Leo utakuwa mpole kweli yani vipigo kote kote [emoji23]
Huku Ndala anatafunwa na Mnyama
Kule Manchester is blue