Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wewe upo sahihi asilimia 100%
Mosdef pia yupo sahihi asilimia 100%

SABABU:

Mosdef: Anamaanisha kufungwa kwetu si sababu ya kutokuwepo Henderson.
Anasema hata Henderson angekuwepo basi Watford na Chelsea wangelitufunga tu.
Na ndiyomana ametoa Mfano kuwa hata tulipocheza na ATM tulifungwa tukiwa na Hendo.
Na sababu yake kubwa ni kwamba Timu nzima inacheza chini ya kiwango kipindi ambacho huwa kinatutokea kati ya DEC - FEB.

Wewe: Umezungumzia kuwa kumkosa Henderson pengo lake linaonekana jambo ambalo ni kweli.

CONCLUSION:
Pengo la Henderson lipo na linaonekana.
Kufungwa kwetu ni kwasababu ya Timu/Wachezaji kuwa off form kwa kipindi hichi cha mpito.
 
Hitimisho la busara lisilo na chembe ya unafiki wala ushabiki.
Amani iwe nawe mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As it stands kwa sasa pale uingereza.
Manchester united UNBEATEN last 9 GAMES.
Hens of the city ( Liverfools) last nine games are beaten 3 consecutive games.

Hahaha vibonde Simeone na atletico unakuja kuchinja kuku hapo anfield na ole wenu mbishe.
 
Id yako ni utambulisho tosha wa kupim akili yako

NYUMBU NI NYUMBU
 
As it stands kwa sasa pale uingereza.
Manchester united UNBEATEN last 9 GAMES.
Hens of the city ( Liverfools) last nine games are beaten 3 consecutive games.

Hahaha vibonde Simeone na atletico unakuja kuchinja kuku hapo anfield na ole wenu mbishe.
And as it stands na hiyo unbeaten yako una uhakika wa kushinda kombe gani? La top 4? [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As it stands kwa sasa pale uingereza.
Manchester united UNBEATEN last 9 GAMES.
Hens of the city ( Liverfools) last nine games are beaten 3 consecutive games.

Hahaha vibonde Simeone na atletico unakuja kuchinja kuku hapo anfield na ole wenu mbishe.
Mpo nafasi ya ngapi?.......tuanzie hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwaninacho kiona klopp hatamaliza mkataba wake mpya ...huyu jamaa huwa hamalizagi kuna dalili tosha akaachia ngazi 2022.
Ni rahisi Liverpool kuvunja mkataba na si Klopp ...... sheria ya mikataba anaevunja anatakiwa kumlipa thamani ya mkataba walioweka nae mkataba

Akivunja mkataba 2022 ni Club inayomtaka akawe kocha ndio itatoa hela ya kuvunja mkataba ina , maana kama analipwa £200k kwa Wiki inamaana atalazimika kuilipa Liverpool zaidi ya pauni milioni ishirini kitu ambacho sidhani kama kuna mchezaji au kocha hata kama analipwa vizuri atakubali alipe hiyo hela kisa tu anataka kuondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saa nyingine mkataba huvunjwa kwa makubaliano na pasipo kuwa na sharti la kulipana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…